malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Ni kweliHabar wakuu nataka kusajili company niwe naomba tender za kusuply material katika miradi ya hamashauri mashule,zahanati..vip wakuu Kuna ukiritimba wowote wakupata au ndo Hadi uwe na connection na afsa manunuzi,na vip katika malipo
Naskia Kuna mfumo mpya wa nest wanadai kuwa hauna urasimu kupata tende je nikweli?
Mim sio kazi za ukandarasi nikazi za material ya ujenzi kusupplyKama Kampuni yako ni mpya nakushauri ufanye JV na mtu ili upate uzoefu walau miradi 2 ama mitatu kisha Anza kuomba hizo kazi za Halmashauri na nyingine utakazoona una uwezo wa kuzifanya
Kwenye kazi mbalimbali zinazotangazwa za Ukandarasi, kigezo kikubwa ambacho huzingatiwa ni uzoefu wa Mkandarasi kwenye kufanya kazi za aina iliyotangazwa pamoja na competency ya watumishi ulionao pamoja na financial capability
Okay, nilidhani ni kazi za UkandarasiMim sio kazi za ukandarasi nikazi za material ya ujenzi kusupply
Kingine mumkumbushe awe na hela + uvumilivu maana kupata malipo una weza subiri sanaKama Kampuni yako ni mpya nakushauri ufanye JV na mtu ili upate uzoefu walau miradi 2 ama mitatu kisha Anza kuomba hizo kazi za Halmashauri na nyingine utakazoona una uwezo wa kuzifanya
Kwenye kazi mbalimbali zinazotangazwa za Ukandarasi, kigezo kikubwa ambacho huzingatiwa ni uzoefu wa Mkandarasi kwenye kufanya kazi za aina iliyotangazwa pamoja na competency ya watumishi ulionao pamoja na financial capability
Ni sahihi, kuna sehemu nimemwambia kuhusu kuchelewa Kwa malipo mengi ya SerikaliKingine mumkumbushe awe na hela + uvumilivu maana kupata malipo una weza subiri sana
Hiyo ya riba nzuri, ila kwa serikali yetu hii mhhh😂😂.Ni sahihi, kuna sehemu nimemwambia kuhusu kuchelewa Kwa malipo mengi ya Serikali
Ndiyo maana wenzetu makampuni ya nje, hupenda kuwepo na kipengele cha riba Kwa Kila upande
Client akichelewesha malipo, atalipa fidia kiasi cha asilimia 1 ya contract sum Kwa Kila Siku malipo yanapochelewa
Na pia contractor/supplies analipa kiasi cha asilimia 1 ya contract sum Kwa Siku Moja anavyochelewesha kazi
Hii inasaidia kuwepo Kwa uwajibikaji Kwa pande zote
karibu sana mkuumcheki mtaalm DALALI MKUU akufanyie mambo
Kama mfanyabiashara lazima ukubali u-seriousness kwenye biashara yako, otherwise utafirisikaHiyo ya riba nzuri, ila kwa serikali yetu hii mhhh😂😂.
sema mambo yame funguka, nao d. teke ana mwaga mpunga Huku Kanda ya ziwa
Ukiwa na backup ya afisa manunuzi vip hapoOkay, nilidhani ni kazi za Ukandarasi
Kama ni kazi za uzabuni wa vifaa (Suppliers of Goods) huwa hawana vigezo vingi zaidi ya kujiunga nest pia uwe na certificate zote za tax,leseni ya biashara n.k
Ila nikusihi, jitahidi uwe na mtaji Mkubwa, kufanya kazi na Serikali huhitaji uwe na Presha ya malipo.
Kuna watu wanajikuta wana idai Serikali miezi 6/9/12 ama hata miaka 2 pasipo kulipwa
Otherwise uwe na packup ya Mkurugenzi wa hiyo Halmashauri
Yenyewe pia ni inalipaUkiwa na backup ya afisa manunuzi vip hapo