Mkemia kay
Senior Member
- Jan 25, 2020
- 131
- 135
Habari ndugu zangu,
Ninaomba kuuliza kuhusu hizi Ajira mpya za wahudumu wa afya ngazi ya jamii zilizotangazwa na Tamisemi kwa mtu mwenye uelewa
1. Kiwango cha mshahara ni bei gani?
2. Kama mtu Una degree nyingine tu unaweza kujificha ukatulia tu cheti chako cha form four kuomba kama ilivyoelekezwa?
3. Je ni Ajira za kudumu Tamisemi kwamba utakuwa mtumishi maisha yako yote mpaka kusitaafu?
4. Je ukishakuwa huko utapata nafasi ya kujiendeleza kiellimu au kama ndo ivo umeomba ukiwa na elimu yako utapata nafasi ya kuonesha elimu yako ukapanda viwango
Tafadhari naomba msaada kwa mwenye uzoefu na aya mambo