Jamani hebu tujaribu kuorodhesha kazi zenye laana hapa Tanzania kutokana na majukumu ya kazi husika. Tusiweke kazi haramu kama uchangudoa, ujambazi, n.k.
Polisi,soma kichekesho Sisi tunamtafuta mtu mwingine lakini mnachukua gari Yake , laptop Yake ufafanuzi huu ni kichekesho cha mwaka huko CCP moshi wanafundisha nini!!!π
1.Wale wavaa suti za elfu 70 wa wrong parking.
Usiombe gari izingue road halafu ukutanenao.
2. Traffic
3. Askari game
4. Jamaa wa uhamiaji
5. Jamaa wa NIDA