Kazi zilizotangazwa za mahakamani

Kazi zilizotangazwa za mahakamani

vampire123

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2016
Posts
1,310
Reaction score
865
Naomba kuuliza kwa aliyeomba au aliyeajiriwa mahakamani...barua ya kuombea kazi na cv ni bora ziwe katika lugha ya kiswahili au kiingereza
 
Makamu wa rais aliahasema lugha ya mawasiliano serikalini iwe kiswahili
 
Naomba kuuliza kwa aliyeomba au aliyeajiriwa mahakamani...barua ya kuombea kazi na cv ni bora ziwe katika lugha ya kiswahili au kiingereza
Si kuna maelekezo yote jamani😭😭😭
Tumia kiswahili tu hakuna anayesoma barua siku hizi
 
Tangazo lilitokaje?
Yes hili ndilo swali la msingi na ht Mm hua naangalia lugha ya tangazo limetokaje.

Tangazo likiwa kwa Kiswahili hapo nitaandika kwa Kiswahili labla ukitaka mbwembwe ndio utaandika Kingereza
Tangazo likiwa kwa Kingereza hapo nitaandika Kingereza tuu.
 
Tulifanya hivo. Wakati
 
Kwahy hapo ndio umejibu swali?
Una akili au huna?... Kwani yeye kaulizaje?, kauliza kuhusu barua na CV aandike Kwa lugha ipi, Kwa nature ya tangazo aliloliulizia ni kwamba aamue yeye kuandika Kwa kiswahili au kiingereza, maana yangu ni kwamba Wala asijipe presha kuhusu lugha gani ya kutumia (kingereza au kiswahili)...tangazo Hilo la kazi mahakamani aamue yeye tu...THINK BIG.
 
Yeye kauliza aandike kwa Kiswahili au Kiingereza halafu na ww unakuja kumwambia andike kwa Kiswahili au Kiingereza, sasa hapo jibu lako liko wapi?
Haya mm sina akili, vp umefurah?
 
Wao wenyewe mahakamani hukuambia andika Kwa kiswahili au kingereza, mfano Kwa tangazo la kazi la tume ya utumishi ya mahakama (nadhani anamaanisha hili mtoa mada) ni aidha uandike Kwa kiswahili au kingereza, utakavyoona inafaa...general conditions zao ni kama za utumishi au taasisi nyingi za serikali zilivyo.
 
Back
Top Bottom