Wakuu Salam,
Kwa mtazamo wangu kuna kazi naziona kama ngumu sana, mtu anapo zisomea ni kwa moyo wa Upendo tu na uzalendo.
Siku akiachishwa kwa matatizo ya kawaida, awe anapewa posho kidogo za kujikim maana kupata ajira tena ni ngumu.
Kwa mfano makomandoo wa Jeshi, naona ni mateso makubwa sana wanapitia mpaka kuitwa komandoo.
Kwa mtazamo wangu naona komandoo ni mtu wa kupewa heshima Sana, kwa uzalendo wake. Kabala tu Vita, mafunzo tu yanaweza kumtoa maisha yake ata kabla ya kumaliza.
Tatizo linakuja pale anapopata matatizo na kustaafishwa. Huyu mtu kupata Kaz kwenye taaasisi yoyote ya ukomandoo ni ngum sana.
Naamin ata huyo Adamoo Kama kweli aliachishwa kwa matatizo yatokanayo na Kaz yake, inaonekana maisha kiuchum yalikuwa si mazur, ndio maana anaenda kutafuta kumlinda mtu binafsi, ohoo mala anauza mchele n.k.
mke wake jana katika ushahidi, anadai alimtafuta mume wake vituon na hospital, na mochali hakumpata, matokeo yake akarudi nyumaban maana Nauli ilimuishia. Mke wa komandoo mizunguko tu daladala za dar ukaishiwa nauli? Apo inaonekana kwa huyu kijana maisha hayakuwa rafik kivile...
hii kitu kwa vijana wanao soma wanaweza kupungaza moyo wa kupenda fan Kama hz. Serikali ingewapa ka posho flan kila mwezi.
Kaz nyingine ni kosomea kuwa Dereva wa Tren. Sasa huyu dereva siku hana Kaz ya kuendesha chombo hicho, ataomba wap Kazi? Lazma atapwaya Sana mtaani.
Unaweza ukaongeza na wewe Kaz zingine zenye ukakasi ambazo unadhan serikali ingetoa msaada wa kudum.