Kazier Chiefs washangazwa na jezi feki na ushabiki waliouna tanzania. Wapo Shaffih Dauda

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Ama kwa hakika utopolo wnajiona wajanja lakini kiuhalisia ni majinga fulani tu embu angalia hizi tweets za mashabiki wa kaizer chiefs wakishangaa walichokuwa wanakiona na kikubwa zaidi majezi feki yaliyovaliwa wenyewe hawayatambui kabisa duh kina shaffih dauda mmewaingiza wajinga chaka kwa kweli



 
Shafii anaangalia mpunga tu , hivi na akili yangu naweza kununua jezi kwa Shafii !
 
Nimefuatilia post zako tangu jana. Nimegundua ww umeanza kushabikia mpira kipindi hiki simba anashiriki kimataifa tu. Kifupi hujui mambo ya soka la Tanzania.
yesss nimeanza kuw a mshabiki wa simba 1990 kombe la afrika mashariki na kati uko sahihi kabisa na mwaka huo nakumbuka mavumbi omary akiwatoboa utopolo goal la free kick
 
Hakika mtoa post Ni Kichanga kwenye mambo ya soka hasa la hapa bongo na Ni Fwalah
inasikitisha sana kununua matambala feki na kujidai ni jezi za amakhosi ,hwataki shobo za kijinga wanashangaa majinga vyura vyurani na shobo mdundo,haya sasa furaha zenu zimeisha back to malalamiko ya TFF ,subirini msimu ujao tuwaleteeni ma teams ya kutosha muandae na bajeti ya kununua jezi feki kabisa mana zitakuja nyingi tu hapa
 
Mwanaume anayepigapiga screenshot huwa anatabia za kikekike, nadhani mtoa mada ni mwanamke.

Kwa sababu post yako haina uhalisia wowote kwa mazingira ya bongo. Kama kuna jezi feki za Simba na Yanga unashangaa za kaizer.? Simba mlivyoenda south hakukuwa na mashabiki zaidi ya diaspora. Kaizer imeota mizizi na mnatakiwa kuwaheshimu na kujifunza toka kwao. Wana fan base hadi nje ya nchi.
 
kweli kabisa wale waliovaa jezi ni mashabiki nguli wa kaizer chiefs hapa bongo tunawajua kabisa
 
yesss nimeanza kuw a mshabiki wa simba 1990 kombe la afrika mashariki na kati uko sahihi kabisa na mwaka huo nakumbuka mavumbi omary akiwatoboa utopolo goal la free kick
Mechi ya marudiano. matokeo yakawa vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…