nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Ama kwa hakika utopolo wnajiona wajanja lakini kiuhalisia ni majinga fulani tu embu angalia hizi tweets za mashabiki wa kaizer chiefs wakishangaa walichokuwa wanakiona na kikubwa zaidi majezi feki yaliyovaliwa wenyewe hawayatambui kabisa duh kina shaffih dauda mmewaingiza wajinga chaka kwa kweli