kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Ujio wa Manara Yanga unamnyima raha Ally, kama Ally hatauona ujio wa Manara kama faida kwake kufanyakazi na mkongwe/nguli kwenye tasnia na badala yake amuone kama adui kwake, patachimbika.
Kwakuwa ni ukweli kuwa Ally sio bora na maarufu kuliko Haji, hivyo anatakiwa kuchota uzoefu wa Haji ili kuimarisha viwango vyake kama anavyofanya Hashim Ibwe kwa Zakazakazi. Ally bado ana utoto mwingi kwenye kazi unaotakiwa kuimarika.
View: https://youtu.be/8CksVmTD1do