magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Japo ephen_ mrs guede kakutuhumu wewe ni Manara ila hapa umeongea point. Zile fulani day zinaleta utengano.sijui kama unaongelea kitu gani, kunywa supu, kuvaa misuli au kupaka bleach? Gamondi hapendi hii ila wanamlazimisha, inawagawa wachezaji hasa wale ambae siku zao hazifiki kama vile Nkane, Musonda, Mauya, Mkude na wengine ambao hawakupewa siku zao za mechi. Kunywa supu kwa pamoja vile haitakiwi kiafya kwakuwa siku kama ikitokea tatizo kama vile food poisoning, kipindupindu au typhoid inatasababisha ugonjwa wa mlipuko (point source outbreak) kwa wanayanga wengi.
Hata vyakula vya umma sio vya kuvishobokea sana. Binadamu tumetofautia roho, sio kwa nia mbaya mfano inatokezea Mzee Magoma anakatizia kwenye Sufuria la Supu mnahisi nini kitatokea. Ni utoto na ukemewe.