Heshima zenu wa kuu, kwa wale wote wanaotaabika na mambo ya msosi mchana wakiwa maofini ondoeni shaka, kwani kuna mtu anaweza kukulea chakula swaafi chenye ladha tamu kwa bei poa, halafu ni bufee
lenye wali, ndizi, supaget, kuku, ng'ombe, mboga majani, maharage, na kipande cha tunda hayo yote ni kwa sh. 4000/- tuu hadi kwa ofisi yako. Mnakaribishwa saaana
Asante nimekuelewa...mkuu samahani kwakutojieleza vizuri huduma hii inapatikana hapa dar kama kazini kwako ni posta basi huduma itakufata hadi ofisini
Hapa hamna ubunifu wowote. Hii biashara ipo miaka mingi sana. Alichofanya ni kujitangaza hapa JF.Maendeleo ndani ya miaka 50 ya uhuru -- hii inaitwa mobile bufee... safi sana kwa ubunifu.
sometimes Avater Image reflects the personality.Alipie Tangazo wakati ndo anaanza 🙁Hapa hamna ubunifu wowote. Hii biashara ipo miaka mingi sana. Alichofanya ni kujitangaza hapa JF.
Inabidi alipie bandiko lake!
jipange upya urudi tena humu..!!!heshima zenu wa kuu, kwa wale wote wanaotaabika na mambo ya msosi mchana wakiwa maofini ondoeni shaka, kwani kuna mtu anaweza kukulea chakula swaafi chenye ladha tamu kwa bei poa, halafu ni bufee
lenye wali, ndizi, supaget, kuku, ng'ombe, mboga majani, maharage, na kipande cha tunda hayo yote ni kwa sh. 4000/- tuu hadi kwa ofisi yako. Mnakaribishwa saaana
jipange upya urudi tena humu..!!!