Wazo zuri. na mimi natamani ningeweza kupata huduma kama hiyo. Ofisini kwetu wanaleta lakini ni mkate tu yenye vinyama na cheese. I wish ningeweza kupata huduma yako. Keep it up
watu wa humu wanauzi yaan wanajibu sijui utafikiri ni nini..............hongera my dear i love that business too,ukiweza uwe unapack kabisa unakuwa na ofisi zako maalumu unachukua oda asbh kwa simu then saa saba mchana unawapelekea.....kupakua barabarani ishu watu wengine wavivu kutoka ofisini wanapenda wapelekewe.
Hongera Sana mkuu kwa ujasiriamali nakupongeza sana. Je Waweza extend hunduma yako hadi kitaa cha kkoo? Kwa kweli kuhusu bei naona uko very cheap, sijui hali ya ubora na usafi wa buffer yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.