kazini kwangu nimeporwa elfu 20 katika begi dogo

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,509
Reaction score
3,429
ilikua nikalipe rejesho la mchezo kule mtaani kwetu, ilikua elf 50, katika ofisi nayopigia kazi kua mwingiliano wa wafanyakazi wengine, ilikua niende toilet, kurudi nakuta pungufu ya elf 20 imebaki elf 30, nimejaribu kumuuliza mfanyakazi mwenzangu amekana kuhusika na upotevu huo.

nimekasirika sana Leo kazini sijui nitaenda kuwatazama vip wafanyakazi wenzangu, matukio kama haya yanatatuliwa vip makazini?

hivi mtu anaingilia vip halmashauri ya begi langu na kuweza kuhujumu? na pesa ngumu hivi mtaani, mambo ya kishamba haya. nipeni ushauri
 
je kwa tukio hilo umejifunza nini?
 
Nitashangaa kama huu Uzi utaendelea kuwepo humu, khaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…