kazini kwangu nimeporwa elfu 20 katika begi dogo

Kwa hii simulizi, msamiati sahihi wa kutumia sio kuporwa. Ni kuibiwa au upotevu.
 
ya usafi sijalipa
Pole ila uwapo eneo lenye muingiliano wa watu zaidi ya mmoja Vitu simple kama hivyo ikiwemo simu,wallet nk ni vya kuweka kwenye mfuko wa suruali ama gauni lako ama huna shida navyo sana kwa matumizi mkabidhi mlinzi getini.....
 
Pole, ila shukuru Mungu kwa kila jambo.
 

Au walikuwa wanaangalia kama ulikuwa upo online mkuu?
 
Tega siku nyingine ujifanye kama unaelekea huko msalani huku ukifuatilia mienendo ya uliyemuacha na atakaeingia ofisini, utampata mwizi wako.Ukimpata umdai na hiyo 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…