kazini kwangu nimeporwa elfu 20 katika begi dogo

Vijana tunasafar ndefu jaman daaah elf 20 ni yakuja kuwaamsha watu asubuh asubuh humu? Tutafute hela tuchakariken mambo yanatia aibu
 
Aisee hiyo ofisi ina umaskini wa kutosha sana.
Mungu awasaidie.
Wizi ni matokeo ya umaskini, according to Prof. Solomon
 
Sasa hapo ndo maana tunawaaambia wanawake achaneni na vicoba. Anyway mwambie mumeo akutumie nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…