Kazungula border post Zambia

Isanga family

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
17,080
Reaction score
33,076
Kazungula ni mpaka uliopo kati ya Zambia na Botswana hili eneo limetenganishwa na mto Zambezi.

Kwa ukanda huu wa Nchi za SADC hakuna boarder post iliyojengwa kwa ubora na kila eneo la wasafiri kutenganishwa kama hapo Kazungula.

Lipo eneo tofauti na madereva wanaoendesha malori na wanagonga Passport zao eneo lao na pia abiria wa Bus na magari binafsi eneo lao.

Huduma za choo zipo za kutosha na safi pia lipo eneo la restaurant na Bank na WiFi inapatikana.

Na pia ni boarder yenye usalama kwa mali za wasafiri magari au mizigo itakayotunzwa hapo ni mara chache sana kupotea.

 
Ndo maana Ruto anataka Sana kujiunga SADC aje awajambishe tena
 
Nimepita hapo mara nne ni kweli unayosema hakuna tofauti sana na Tlokweng Border!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…