KAZURY Ltd
Kama utapenda ubunifu wetu tukuchagulie rangi karibu sana, kama unapicha ya rangi uzipendazo kwenye fikra zako karibu pia
Bei ni makubaliano kwani inategemea ukubwa wa eneo lako, mapambo ya rangi utakayopenda, muda unaotaka zoezi likamilike ila haitojalisha umbali uliopo kwa hapa dar es salaam
Tunapatikana Mbezi Tangi bovu pia unaweza kuwasiliana na si kupita mawasiliano yafuatayo
0716088155
0713499311
unaeza kunipm hapa pia
"We settle for Elegance"