KBC mnashindwa wapi?

Nakumbuka wakati ule Obama alichaguliwa The Republic of Kenyatta walifabya public holiday, Halafu wamarekani wenyewe hata hawakufanya public Holiday,
Hapo nilijua Wakenya ni Kamasi tupu vichwani.
Sasa point yako ni ipi haswa, kwamba Obama ni mzungu? Au kwamba holiday ilikuwa ya kujipendekeza kwa wazungu/U.S kupitia Obama ambaye hata hakuwa ameapishwa? Kwa taarifa yako Mwai Kibaki na wakenya walikuwa wanajivunia kwamba historia mpya iliandikwa nchini marekani na mtu ambaye babake alikuwa mkenya. Mtu ambaye ana kaka, dada, shangazi, wajomba na hadi bibi nchini Kenya.
 
Nionyeshe station za Nigeria, Ghana, Uganda etc zilizo broadcast live . Achana na hao Dw , sijui BBC hao wote ni mabeberu agenda yao ni mmmoja.
 
halafu obama akawa na state visit to Tanzania before kenya. wajaluo wanabaguliwa sana kenya, mjaluo akiwa raisi wa marekani anaonekana wa maana, ukabila ni upumbavu usiokuwa na kipimo. POOR KENYANS
Ukichaa ni kujikanganya kwa kuwaponda wakenya, huku ukiwaringia kwamba rais wa 'mabeberu' alizuru Tz kabla ya Kenya. [emoji1]
 
Nakumbuka wakati ule Obama alichaguliwa The Republic of Kenyatta walifabya public holiday, Halafu wamarekani wenyewe hata hawakufanya public Holiday,
Hapo nilijua Wakenya ni Kamasi tupu vichwani.
Kama stesheni zetu ni mbovu, mbona munaziangalia nasi hatuangalii zenu? Saa zingine nyinyi huongea kama watu hawana akili kabisa. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Huku umejiita CARIFONIA tena kwa herufi kubwa. Umeacha kujiita MTOGOLE au CHATO. Nimeamini Kweli nyani haoni kundule
Exactly, Mbona sijiite Dodoma au Mwanza? Watanzania wengine humu utawakuta wakila chipsi huku wakisema viazi sii chakula.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanaonyesha kupotia ZBC2..huyo hajafanya research tu... Then kwa nini wakenya mnajipendekeza pendekeza kwa mabwana zetu hadi mnatia aibu. Utu wenu uko wapi. Shame
Mbona basi munaziangalia stesheni za Kenya nasi hatuangalii zenu? Kisha muanzisha mada anajiita CARIFONIA tena kwa herufi kubwa? Tumieni akili bradhee.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…