Nani aliyegharamia hii maneno?
Waste of :
-TIME
-MONEY
-FLOOR DEPRECIATION
-TABIA HATARISHI ZA 'NYEVUANYEVUA'!
and
Nani aliyegharamia hii maneno?
Ni pesa za nani!
Waste of :
-TIME
-MONEY
-FLOOR DEPRECIATION
-TABIA HATARISHI ZA 'NYEVUANYEVUA'!
and many of thelike!
If you guys have money to dump, go and dump it in the orphanage!
Kuch..kuch!
Mi nakwambia hawa wanahatarisha sana mwelekeo wa tabia ndani ya jamii!JP umeona picha ya juu kabisa mdau mwenye shati nyeupe nini anafanya? Na mshangao wa mama aliyevaa viatu vyekundu vya red?
Source: http://issamichuzi.blogspot.com/2010/02/kcb-wamwaga-heri-bomani.html#comments
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya KCB wakisakata muziki wakati wa hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa benki ya KCB na mbunge wa kuteuliwa Janet Mbene kwa kuteuliwa kuwa mbunge na Mheshimiwa Rais,na kumwaaga rasmi aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Heri Bomani , Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.
Kazi Kweli kweli . . . . bora mimi sijasema!
Huyu dada anaonekana mzuri shida ana kikwapa! sijui zile sehemu zingine
mke wangu alikuwa huko, nilimruhusu.
nayajua mabo ya ulabu na shangwe,
niko tayari kupokea kila picha mtakayo tuma, hata kama mmawatoto alisasambua, sitalaumu kwa kuwa niligoma kwenda.
party hiyo ilifanyika ljumaa kwenye ubalozi na makao makuu yao yaliyopo obay.
mke wangu alikuwa huko, nilimruhusu.
nayajua mabo ya ulabu na shangwe,
niko tayari kupokea kila picha mtakayo tuma, hata kama mmawatoto alisasambua, sitalaumu kwa kuwa niligoma kwenda.
party hiyo ilifanyika ljumaa kwenye ubalozi na makao makuu yao yaliyopo obay.