Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Bwana wee......Sikulala kenye kochi aisee,ila cha moto nilikiona
Pole sana Nkwingwa. Na una bahati hakukulaza kwenye kochi....yalishagawahi kunikuta hayo. Usiombe yakukute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana wee......Sikulala kenye kochi aisee,ila cha moto nilikiona
Shem usiniambie ulimlaza Nkwingwa kwenye kochi....
Daah hv huyu mtoto yuko api fideliaBalantanda,
Huyo anaitwa Fidela. Nasikia alikuwa anatafuta MUME. Fidela ni mtoto wa Kisukuma yule Nkwingwa na kama hujaowa, basi utakuwa nyumbani.
Hata kama umeowa, sisi ngosha mke mmoja wapi na wapi?
Julius, mcheki Nsia kwenye Hi5 kama wewe ni member.