Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Julius, huyu mtu si anaishi Dar? Pana wakati kaka yake alijitangaza kuwa ana dada mzuri. Nafikiri ukitumia utoto wa MUJINI basi utampata kiurahisi. Au mwaga zawadi ya vidola kadhaa na washikaji watamsaka haraka sana.
Haya, wengi wamesikitika hii picha ya NSIA SWAI, nimeifuta, naomba na nyie mlio-quate muifute.......
Source: http://issamichuzi.blogspot.com/2010/02/kcb-wamwaga-heri-bomani.html#comments
Kazi Kweli kweli . . . . bora mimi sijasema!
Wakuu sijui kama macho yangu yanaona vizuri au ni imagination tu . . . huyo dada aliyevaa black na Kikukuk mguu wa kushoto na kiatu cha soli mchongo anayecheza Mbuzi Kagoma kama mdau moja alivyoita . . . assuming nguo yake ni Transparent . . . Ile inayoonekana kwa mbali ya maua maua ni underwear ama nakosea?
Nakumbuka Nsia alikuiwa na mwenzake naye mkubwamkubwa hivi kwa nyuma..Kama unayo picha yake nisaidie kwa PM NkwingwaHaya, wengi wamesikitika hii picha ya NSIA SWAI, nimeifuta, naomba na nyie mlio-quate muifute.......
Sasa si yuko sawa tu na picha aliyoweka Sikonge?
Oh yeah...kavaa ya vidoti doti....
Hapana hiyo ni reflection kutoka kwenye shati la jamaa aliyesimama karibu yake.
Mdada kama yule havai chupi ya Polka dot.
Nakumbuka Nsia alikuiwa na mwenzake naye mkubwamkubwa hivi kwa nyuma..Kama unayo picha yake nisaidie kwa PM Nkwingwa
no comment......
Oooh nooo....Nkwingwa kakamatwa leo...lol
no comment......
Oooh nooo....Nkwingwa kakamatwa leo...lol
Mhhhhhhhhhhhh..Nilijua umelala mama..Usijali ni picha nataka kuiangalia...Hakuna mwingine zaidi yako,ni wewe tu
Bwana wee....Lakini ni picha tu,sikuomba kwa nia mbaya aisee,hope nitaeleweka
baada ya picha what next???
nieleweshe mpaka hapo bado sijakuelewa.....
for easy of reference...............Nakumbuka Nsia alikuiwa na mwenzake naye mkubwamkubwa hivi kwa nyuma..Kama unayo picha yake nisaidie kwa PM Nkwingwa
Mhhhhh,leo kazi ipo...Ni picha jamani nimesimuliwa na shemeji yako Julius kuhusu hao watu so nataka nijonee mwenyewe tu na wala si lingine dear
Mhhhhh,leo kazi ipo...Ni picha jamani nimesimuliwa na shemeji yako Julius kuhusu hao watu so nataka nijonee mwenyewe tu na wala si lingine dear
Heheheheee...Nkwingwa naona unajitetea lol....
Shem usiwe na shaka....nilimsimuliaga mimi kuhusu hao walimbwende....hana nia ingine zaidi ya kuwatia machoni tu