Lakini shati la jamaa lina mistari, sio vidoti. Halafu Sikonge kwani huoni hizo panty lines? Hiyo chupi bana
for easy of reference...............
Need me say more??
Mhhhhhhhhhhhh..Nilijua umelala mama..Usijali ni picha nataka kuiangalia...Hakuna mwingine zaidi yako,ni wewe tu
I agree with you mkuu. Kwanza toka lini rangi nyeusi ikareflect bana? How can a dark dress reflect a white shirt? Hiyo lazima itakua new theory of optics.
Sikonge kwani wewe huoni hiyo panty line?
Kwa wale ambao macho hayaoni vema Julius anachoongelea ni kama inavyoonekana hapa chini:
Nimebadilisha computer na sasa nauona vizuri mkanda wa chupi...
Mchana au Usiku??, hapakuwa na usalama nini mbona kila mtu na kipochi/simu mkononi ? sipendi kuamini walipitiliza kwenye shughuli hapakuwa na kubadili jezi, hasha, sijui ukumbini palikuwaje (masuala ya manukato ya asili).
Duhe hii KCB kama "Somalia" .....Hofu tele!
Balantanda,
Huyo anaitwa Fidela. Nasikia alikuwa anatafuta MUME. Fidela ni mtoto wa Kisukuma yule Nkwingwa na kama hujaowa, basi utakuwa nyumbani.
Hata kama umeowa, sisi ngosha mke mmoja wapi na wapi?
Julius, mcheki Nsia kwenye Hi5 kama wewe ni member.
Shaggy alikufundisha "say it wasn't me...."
kazi kweli kweli!!!!
jamani tatizo liko wapi watu wakijiachia?
kazi kweli kweli!!!!
Uwiii uwiii........
Simba mwenda kimya ndiyo mla nyama.
Huyu anayekuja hapa kusema anamtafuta Fidelia ni maneno tu. Na kuhusu Ngosha kuwa na mke mmoja, mbona wapo wengi tu na waaminifu sana kwa wake zao. Ngosha mara nyingi au ni kiwembe tangu asubuhi na utalifahamu hilo mapema na hapo usuke au unyowe au atakuwa mpole na mwaminifu kwa ndoa zaidi ya mke.
Hivyo usijali haya maneno ya watu unaandika huku umeshika BUYU la Heineken ....
Mhhhh,naogopa kucomment maana..........
...Jasho tu mkuu ukizingatia ameshaserebuka sana......anaonekana yuko serious kweli kweli.....Huyu dada anaonekana mzuri shida ana kikwapa! sijui zile sehemu zingine
Shem usiniambie ulimlaza Nkwingwa kwenye kochi....