KCMC inapokea Wagonjwa 300 wa Akili kwa mwezi

KCMC inapokea Wagonjwa 300 wa Akili kwa mwezi

Hapo mwenye ugonjwa wa akili sio watanzania bali ni wewe
 
Hayo yote kwa 70% chanzo chake kutokana na ugumu wa maisha pamoja na kukosa matumaini kuyatatua
Sio kweli.mchaga kutwa huwaza pesa tu hata awe na chakula ndani cha.kula cha kula mwaka mzima na anaishi kwake hana majukumu yeyote ni yeye tu kama haoni hela inaingia mkononi anaehuka

Wehu wengi wa kichaga ukienda kwao utashangaa wana maisha mazuri tu ila utasikia ohh mimi nilikuwa nauza chips kwa siku faida napata laki mbili leo mimi kweli ndio wa kuuza chips kwa siku napata faida elfu hamsini.

Wehu unaanzia hapo
 
Back
Top Bottom