Sio kweli.mchaga kutwa huwaza pesa tu hata awe na chakula ndani cha.kula cha kula mwaka mzima na anaishi kwake hana majukumu yeyote ni yeye tu kama haoni hela inaingia mkononi anaehuka
Wehu wengi wa kichaga ukienda kwao utashangaa wana maisha mazuri tu ila utasikia ohh mimi nilikuwa nauza chips kwa siku faida napata laki mbili leo mimi kweli ndio wa kuuza chips kwa siku napata faida elfu hamsini.