KCSE Hakukuwa na "A" Hata Moja Katika Mtihani Wa Kiingereza

Vizuri sana ...enough to join a good college and a good course(FYI)but kusema ukweli somo la kingereza kenya si mchezo especially last year na ile novel ya CAUCASIAN CHALK CIRCLE!!!iliwasumbua watu wengi sana wakati wa kuichambua.
 
Kama A Ni 90 basi nyie elimu yenu itakua yakipekee....kwann isianze walau 80 ...anyway sawa
 
Kwani syllabus ya kufundishia kuna iliyozinduliwa na muafrika??? Zote zinafanana hayo yote unayosema shuleni niliyafanya na zaidi
 
Khaa.sasa hyo itakuwa English science.
 
Kingereza hawajui kiswahili hawajui kazi kweli.
Do you have a pint of an Idea that, even them whites are only good in spoken English unlike written one despite it being their mother tongue? Apparently, the Kenya education system apart from swahili all other subjects are taught and set in English. If one gets an A in other subjects like Maths, Physics, Biology etc that are completely set in English, don't you think that the said person should be considered to have passed English indirectly?
 
Kwani syllabus ya kufundishia kuna iliyozinduliwa na muafrika??? Zote zinafanana hayo yote unayosema shuleni niliyafanya na zaidi
Zote zinahanana true ...but Its harder in some countries than in others for example ,try doing English exams in SAT American exams and you will know what english is [emoji23]
 
Dah whenever u speak about KCSE, u remind me about our days back at MANGU high.......missing the cool weather of the then Central province.
 
nakumbuka kuna comedian wenu alisema watz ndio madadraf wa kingeresa
 
Dah whenever u speak about KCSE, u remind me about our days back at MANGU high.......missing the cool weather of the then Central province.

Wewe ni mkenya au mtanzania? Ikiwa we ni mtanzania, ilikuwaje ukasomea Mang'u high? Ni miaka ipi hiyo? Ni swali tu...sina ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…