Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Ahhhhhh! Lol! I See in the same article one teachers collapsed due to the results!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahhhhhh! Lol! I See in the same article one teachers collapsed due to the results!!
😀 I liked 'akili za usiku 'Hehe tusipochunga hizi uncreative gangs zitaongezeka
Ebu soma hizo majina za hizo top 90 gangs in Kenya according to police, utakufa ukicheka hizo majina,
Interior Cabinet Secretary Joseph Nkaissery reveals 90 deadly criminal gangs in Kenya
ZAIDI ya kaunti kumi na sita hazikuwa na mwanafunzi hata mmoja aliyepata alama ya 'A’ (plain) katika matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE).141 nchi nzima. Genius ni hao tu!?
Kaunti 16 Hakuna A hata moja!!!Wakenya Walisema elimu ya Tanzania inakufa kumbe na yakwao uchwala
Sasa Tanzanai wameanza kujilinganisha na kenya cos of the new results [emoji23] [emoji23] [emoji23] njoo somea kenya ujue ndo utajua masomo n nn .Wakenya Walisema elimu ya Tanzania inakufa kumbe na yakwao uchwala
[emoji88] [emoji88] [emoji88] elimu ya Kenya kingereza kingi kumbe akuna kitu bure kabisaSasa Tanzanai wameanza kujilinganisha na kenya cos of the new results [emoji23] [emoji23] [emoji23] njoo somea kenya ujue ndo utajua masomo n nn .
Hahaha nimeipenda bure
Wanaofeli vyuo vya Tanzania wanakuja Kenya na Uganda wanatusua...wadanganye mabwege ....Sasa Tanzanai wameanza kujilinganisha na kenya cos of the new results [emoji23] [emoji23] [emoji23] njoo somea kenya ujue ndo utajua masomo n nn .