KDF amphibious attack was the first by an African military

Wanamgambo wa KDF ni shida,majisifu meeengi wanapigwa na watu wamevaa misuli na yebo yebo
 
Hebu jaribuni kufanya hizo promo nanyi tuwaone.
Dogo wacha masifa ya kijinga TZ wako mbali military wise and no braging.
The missions acomplished by the TPDF records speak for themselves.
The latest was in Comoro, unsiting the president and libarating the country not only Bagamoyo exersise!!
We would feel the miltary endevour if you terminate those El shabab from your noughbourhood and bring peace to the Kenyans pronto!!
 
Kushangaa mtashangaa siku mtasumbua kenya ndio what keeps me alive!
 
Pale garisa mwaka Jana kulikuwa na wanamgambo wa5 wenye ak47, ila majamaa ya kdf yalienda na tanks aisee.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yana silaha lakini hayajui kuzitumia..stupid
 
A considerable portion of those militants are from tanzania. Sasa ngoja warudi nyumbani ndo mtachekea chooni.
 
hiyo ya matofali ilifanya nicheke yanngu yote...sijui kama hivyo vichwa vilkuwa vitatumika kama mabomu au nini
Hivo vichwa vilikuwa vitumike ku detonate mabomu [emoji23] [emoji23]
 
my friend..hamna cha kujisifia huko comoro.hivi hamuoni aibu mkitaja comoro.
 
Yana silaha lakini hayajui kuzitumia..stupid
Yeah kama unadhani vita baina ya nchi UN na media zitakuwa hapo kama marefari ndio mtajuta sai somalia hatuwezi fanya chochote bila UN kusema .....lakini vita baina ya nchi ni wanainchi watasema kitakacho fanywa hzo silaha ndio mtajua vile zina fanya kazi
 
hiyo ya matofali ilifanya nicheke yanngu yote...sijui kama hivyo vichwa vilkuwa vitatumika kama mabomu au nini
Mimi nachekaga sana napoona wale jamaa wanaovaa misuli na yeboyebo wanavyowazingua hao Jeshi chovu la kdff
 
Mimi nachekaga sana napoona wale jamaa wanaovaa misuli na yeboyebo wanavyowazingua hao Jeshi chovu la kdff
Yeah

Hapi ongezea marekani, ufaransa ,uturuku, uchina


Tuko pale juu .....tunapigana vitani hatupasui matofali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…