KDF amphibious attack was the first by an African military


Wizi sio tabia nzuri.
 
Tanzania have done this in Comoro...they successful taken the rebel leader major Bacar and intalled the elected goverment of Mr Sambi.
All this without any serious resistance
 
JWTZ iende somali ikapambane na alshabab uone kama ndugu zako/jamaa zako watarudi salama, ndo utajua alshabab ni nani???

Mlifikili vita ni comedy show kama ya eric omondi😀? JWTZ iende kupigaña somalia kwa faida ya nani, tuna ugonvi na somalia?
 
AK47 ndo kifaa cha kazi.

http://www.ign.com/boards/threads/which-is-better-the-ak-47-or-the-scar-h.188689833/
 
Yani hata vikosi vya ulinzi viliruhusu hili zoezi bila kufikilia hatari iliyokuwa mbeleni, hii ni akili ya kinyang'au kabisa aisee😡

Site Map Partners Contacts Privacy Policy

NEXTHATUA TATUAT: 09:00

NOW ON AIRSUNRISE

LISTEN LIVECLICK HERE



Menu

MTU MMOJA KUPOTEZA MAISHA KENYA,SHAMBULIO BANDIA LA UGAIDI



Mwanamke mmoja amefariki na zaidi ya wanafunzi 20 kujeruhiwa katika oparesheni ya kuiga shambulio la kigaidi LiliLoendeshwa
nchni kenya, katika chuo kikuu cha Strathmore.
Oparesheni hii ilipangwa na chuo hicho pamoja maafisa wa polisi bila kuarifu wanafunzi na wafanyakazi, ili kubaini ikiwa chuo hicho kiko tayari kukabiliana na tukio la kigaidi.
Kauli rasmi kutoka chuo kikuu cha strathmore, imedhibitisha kwamba mfanyakazi mmoja amefariki kutokana na majeraha aliyopata baada ya kuruka kutoka ghorofa ya tatu
Wanafunzi zaidi ya ishirini wamejeruhiwa wanne kati yao wakiwa hali mahututi baada ya mkanyagano
mkanyangano huo ulisababishwa na mkakati wa usalama uliokuwa ukiendeshwa chuoni humo na vikosi vya usalama
Wengi waliojeruhiwa wamelazwa katika hospitalini jijini Nairobi akiwemo mhadhiri aliyeruka kutoka ghorofa ya nne
waliumia miguu na mikono katika harakati za kuruka kupitia madirisha na milango wakati wa tukio hilo.
Mkakati huo ulipaswa kuangazia maandalizi ya wanafunzi na watu wengine endapo tukio la kigaidia linaweza tokea.
Hata hivyo usimamizi wa chuo hicho umeelezea kusikitishwa na jinsi tukio hilo lilivyozuka na kusababisha majeraha huku ukiahidi kuwalipia gharama za hospitali za wote waliojeruhiwa.
Tukio hili linajiri miezi kadhaa baada ya wapiganaji wa al shabaab kutekeleza shambulio la kigaidi mwezi aprili katika chuo kikuu cha Garrissa, na kusababisha vifo vya wanafunzi mia moja arobaini na saba.


MTU MMOJA KUPOTEZA MAISHA KENYA,SHAMBULIO BANDIA LA UGAIDI.
 

Hapo pekundu ndiyo wapi hapo?
 
The invasion of Anjouan (code-namedOperation Democracy in Comoros),[5][6] on March 25, 2008, was an amphibious assaultled by the Comoros, backed by African Union(AU) forces, including troops from Sudan,Tanzania, Senegal, along with logistical support from Libya and France. The objective of the invasion was to topple ColonelMohamed Bacar's leadership in Anjouan, an island part of the Union of Comoros, when he refused to step down after a disputed 2007 election, in defiance of the federal government and the AU. The Comoros archipelago in the Indian Ocean has had a fractious history since independence from France in 1975, experiencing more than 20 coups or attempted coups.[7]

The invasion occurred on the early morning of March 25, 2008. The main towns were quickly overrun and the island was declared under the control of the invading forces the same day. Mohamed Bacar managed to escape toMayotte on March 26 and requested political asylum. He was subsequently held in custody there by the French administration and brought to the island of Réunion. On May 15, France rejected Bacar's request for asylum but the French refugee office ruled that the ousted leader could not be extradited to the Comoros because of the risk of persecution.[
 
kumbe ni France ndo waliwapeleka huko, sikuzote mmekua mkiringa kumbe mlilishwa na kusafirishwa na france? haha, tena wanajeshi wa AU ilikua wanafika 1500, tanzania inasemekana ilituma wanajeshi 340, hio inamaanisha wanajeshi wa senegal na sudan ndo walikua wengi zaidi...watz ndo walikua wachache na nyinyi ndo mdomo kubwa

along with logistical support from Libya and France
 

Wizi sio tabia nzuri.
Hio picha imetumika mara nyingi sana kama reference lakini ukweli ni kwamba hio picha hapo walikua hakuna uizi wowote uliofanyika, walioiba walikua ni wawili walioshikwa na kufutwa kazi badae....

ebu angalia hio picha vizuri. the simplest answer is always the thruth... mifuko yote iko na upana sawa, meaning yote imefanana kwa kilo, meaning wote wamebeba vitu sawa, meaning wamechukua hivyo vitu kutoka shelf sawa.... most likely ilikua ni chakula au pesa(ambazo waliregeshea banki husika)...... kama ingekua ni kitu cha wizi, haungeona wamebeba kwa pamoja maanake:
1. hauzi jua nani atasema mwenzake.
2. its very unlikely mtaiba vitu vyenye mziko sawa, kama huyu ataiba camera, mwengine ataiba simu,mwengine ataiba ushanga....kwahivyo mizigo yenu itakua tofauti, si kama vile unaona hapo kwa picha mizigo imenana..

3. walikua wanajua camera ziko kila mahali, itakuaje wote walienda kwa counter moja kuchukua hivo vifuko vya white, kama mnaiba kila mtu ataficha kwa babagi kake, hamtachukua vifuko veupe alafu mnafwatana kwa mlolongo eti mmeiba.


A proffessional army is not the one that never makes mistatekes, but one that takes action to correct itself when it errors (if no famouse person has ever said that then I call dibbs)




story yote mbivu na mbichi iko hapa (do you know how hard it is for a general to admit that his own men were busy stealing while lives were bieng lost)



The Kenya Defence Forces (KDF) has admitted that soldiers looted from Westgate Mall during the terrorist attack last month.
Two soldiers have been sacked and jailed in connection with the looting from shops at the mall.
Another soldier is facing court martial after being found in possession of a mobile phone suspected to have been looted at the mall, KDF chief Julius Karangi told journalists during a rare press conference attended by the country’s security chiefs at the Department of Defence (DoD) headquarters Tuesday.
Read: Theft case against KDF soldier withdrawn
Present during the Press conference included Defence Cabinet Secretary Raychelle Omamo, Principal Secretary Dr Monica Juma, Inspector General of Police David Kimaiyo, Director of Criminal intelligence Ndegwa Muhoro, Deputy KDF chief Lt. Gen. Samson Mwathethe, Army Commander Lt. Gen Joseph Kasaon, his Kenya Air Force counterpart Major Gen Joff Otieno and KDF spokesman Col. Cyrus Oguna.
The security chiefs sought to clear the air over several unanswered questions regarding the September 21 terrorist attack including widespread allegations of looting by KDF soldiers, poor coordination and outright hostilities between the various security agencies involved in the rescue operation and reports that the National Intelligence Service (NIS) had issued prior warning that the mall would be attacked.
VIDEO CLIPS
They came fully equipped with video clips to counter allegations of widespread looting and even the names of soldiers who have been sacked and jailed in connection with the allegations.
The names of the two soldiers who have been sacked and jailed were given as Victor Otieno, Victor Ashihundu while the one still being investigated was named as Isaiah Wanjala. They were allegedly found in possession of mobile phones, cameras and battery chargers.
Besides being summarily sacked and jailed, the affected officers will lose all their terminal benefits and will also be blacklisted, meaning they cannot secure any employment in the disciplined forces or security firms, sources told Nation.
Gen Karangi also revealed that two other Administration Police officers and four civilians were also arrested at the mall and are undergoing police investigations in connection with looting. One of the AP officers was allegedly found trying to steal a motor vehicle at the mall.
“We also went a step further and instituted our own internal inquiry. The inquiry has so far found three of our officers with stolen goods,” he stated. “Two of them have been sacked and jailed while we are still investigating one case in Nakuru through our own internal disciplinary system,” he noted.
The two AP officers and four civilians were arrested and handed over to the Police because they could not be tried using the court martial system, he noted.
Mr Kimaiyo on his part maintained that the NIS did not issue any warning specifically touching on an impending attack at the mall, saying all they was “general information” of possible attacks on key installations in the country.
Col Oguna accused media outlets and some owners of shops at the mall of manipulating information to portray the security forces involved in the operation as looters.
The security chiefs however admitted that eight soldiers caught on camera carrying plastic bags containing water bottles had actually picked them from a supermarket at the mall.
“They actually had permission from the officer in charge of the operation who may have appreciated that they were dehidrated....read more
Two KDF soldiers sacked over Westgate looting
 
(FULL Footage) CCTV Show Kenyan Soldiers Looting Westgate Mall
Endela na uchambuzi kidogo na hapa
 
Oh, samahani, nilikua sijui naongea na mtu ambae hatumii akili yake...
hata wewe ungekuwa utatumia akili yako nzuri, usingekuja na maelezo ya wengine kuficha uovu. Inaonekana hao jamaa walikuwa hawajui position ya hiyo static cctv camera na coverage yake. Kweli situmii akili yangu mkuu natumia yako. Assume wangekuwa vitani ambako hakuna supermarket ya kujichukulia maji bure kwa amri ya mkuu(sijui ni duka lake? kama unalivyotafsiriwa) wangetoa wapi hayo maji. Lack of preparation
 
Heri sisi tuko vitani hatupigani na matofali uwanjani Dar
sasa kama tuna amani unataka tuwageuzie nyinyi mitutu?noooo,tunajifurahisha kwa kupasua matofali kwa kichwa,malizaneni na wavaa misuli na yebo yebo kwanza
 
Nenda angalia comments za watz jukwaa la siasa by technical kuhusu kupeleka jwtz somalia ndio utajua hali halisi ya watz wanajua alshaabab si mgambo kama m23.
 

hio ni emergency situation ambapo mlio ukipigwa unakota bunduki na kuvaa bulet proof ata haujui ni wapi unapelekwa na itachukua mda ghani, eti ulikua unataka waanze kujiuliza tutakula nini ikifika mchana? alafu kitu chengine hauezi ambia askari atoke ndani ya jumba wakati oparesheni inaendelea eti aje achukue maji, na huko ndani waliko wanaeza wakajisaidia . angalia hio video tena kwa umakini, alafu usome hio habari tena, alafu ufikirie vizuri kabla uanze kuongea...



Na BTW KDF wako na maji yao hujitengezea wenyewe... kwahivyo vitani ambapo wana mda wa kujitayarisha wanabeba maji yao wenyewe, si kama nyinyi kule comoros mlisafirishwa, mkapewa silaha na hata mkalishwa na wafaransa mda wote mlipokua huko alafu ndo mnasifia



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…