Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
- Thread starter
-
- #21
hahahaha watu wana uhuru wa kujieleza huku Kenya...thats what that is...maoni tu...ila ukweli upo...Kenya ndio inaongoza ukanda huu...hio ethiopia ni maskini hata heri Uganda....kisha wana population mara mbili ya Kenya...hakuna chochote hapoOna wenzako wenye akili wanaelewa kitakachotokea mbeleni
its true....Ethiopia should not even be compared to Uganda....Uganda is richer than ethiopia...sina ubishi hapo...kitu walio nacho wahabeshi ni ni uchumi mkubwa in terms of GDP ila kiuhalisia hata afadhali Uganda...Hivi Ethiopia uchumi wake mnaupima kwa kigezo kipi, maana katika vijana, wananchi wenye shida za umasikini wa kutupwa ni Ethiopia! Mnatumia kigezo gani?
...uchumi mkubwa kwa vipi? unazalisha nini?its true....Ethiopia should not even be compared to Uganda....Uganda is richer than ethiopia...sina ubishi hapo...kitu walio nacho wahabeshi ni ni uchumi mkubwa in terms of GDP ila kiuhalisia hata afadhali Uganda...
And now you're into this???[emoji23][emoji23]hahahaha watu wana uhuru wa kujieleza huku Kenya...thats what that is...maoni tu...ila ukweli upo...Kenya ndio inaongoza ukanda huu...hio ethiopia ni maskini hata heri Uganda....kisha wana population mara mbili ya Kenya...hakuna chochote hapo
killing innocent civilians is not a just cause brother....Of what is happening in Tanzania, I am inclined to say that Alshabaab might have a just cause!
it will never see the light of day.....it will be dismissed...unajua kenya tuna uhuru mwingi...mtu anaweza hata leo kwenda ku propose mswada kuwa wanaume wawe wanavaa nguo za wanawake😀😀😀😀...but that dos not mean that it will be allowed...And now you're into this???[emoji23][emoji23]
That much I agree with you, I understand, but, if you try all peaceful option to raise your rights concern and the dictators keep a deaf ear, what do you resort to?killing innocent civilians is not a just cause brother....
I am just speaking in terms of GDP..ila hata kama ni maskini wa kutupwa, Ethiopia itis more developed than tz...so ethiopia comes second after Kenya in East Africa...uchumi mkubwa kwa vipi? unazalisha nini?
sometimes we must sacrifice democracy for development...let us develop to first world status before we can fight for democracy...sababu ya mimi kusema hivi ni kuwa democracy haitawalisha watu wetu...uchumi ukikua ndio utaweza kutulisha...demiocracy wacha ije baadae wakati tumashafikia level ya akina Singapore, Malaysia etcThat much I agree with you, I understand, but, if you try all peaceful option to raise your rights concern and the dictators keep a deaf ear, what do you resort to?
Howmany students from Meru University have been killed so far?Non according to the report.
All in all., if GDP is not reflected in common man's daily life to support keeping body and soul intact, then it is useless! Wazungu wanatudanganya na hizo theories za uchumi wakati wao GDP zao zinakuwa reflected 100% in their people's daily lives!I am just speaking in terms of GDP..ila hata kama ni maskini wa kutupwa, Ethiopia itis more developed than tz...so ethiopia comes second after Kenya in East Africa
No, not at all, better in poverty than riches in slavery! ndio maana tulipigana na wakoloni tukakataa mazuri yao maana hatukuwa na uhuru wetu!sometimes we must sacrifice democracy for development...let us develop to first world status before we can fight for democracy...sababu ya mimi kusema hivi ni kuwa democracy haitawalisha watu wetu...uchumi ukikua ndio utaweza kutulisha...demiocracy wacha ije baadae wakati tumashafikia level ya akina Singapore, Malaysia etc
..dah hata upromote vipi jeshi la kenya in reality ni lipo weak sana yaan ni jeshi lenye uwikness...... na siku zote halona winning results....
Combined joint task force of the Somali National Army (SNA) and Kenya Defense Forces (KDF) AMISOM contingent killed 23 members of Al-Shabaab terror group in Fahfahdun town situated in the South West prefecture of Gedo Province of Somalia. KDF conducted an assault targeting the new base of the terrorists in the outskirts of Fahfahdun town, reports say.
The militants withdrew from the positions they held in the area. An exchange of heavy weaponry that lasted four hours left 23 militants dead, three tactical vehicles with mounted machine guns destroyed, and light machine guns seized by the army. The militants were planning to use the base to conduct ambushes and attacks targeting the SNA and KDF troops in pacification mission in the region.
On Sunday, unknown KDF personnel were injured when an armoured personnel carrier they were travelling in ran over a roadside explosive in Gedo region region on Sunday. The victims were flown to Nairobi. Local residents said the incident happened between El Wak town and Busar village, both located near Somalia's border with Kenya. The region is an Al-Shabaab hot-spot area where security vehicles have run over explosive devices in the past. KDF, which is part of Amisom troops in Somalia has started withdrawing from there as part of plans to leave some operations to Somali troops.
KDF went to Somalia in October 2011. Kenya's incursion into southern Somalia started after the kidnapping of two Spanish women, who were working for MSF at the Dadaab refugee camp. ALSO READ: Death toll from Somalia blasts rises to 45: government official The abductions were carried out by the militants who the troops said planned to push away under the Operation Linda Nchi. Two years later, the troops managed to take control of Kismayo port under Operation Sledge Hammer. Initially a team of about 2000 troops had been engaged in the operation but the number doubled when Kenya joined UN's AMISOM.
Read more at: KDF, SNA kill 23 Al-Shabaab militants near Kenyan border in clash
hehe sawa chokoch..dah hata upromote vipi jeshi la kenya in reality ni lipo weak sana yaan ni jeshi lenye uwikness...... na siku zote halona winning results....
bado sana nyie kwani hata uchumi wenu asilimia kubwa unamilikiwa na investors wageni..... kiuhalisia ukija kwa wananchi wakenya no econy ni poor tu mnashida
huo ndiyo ukweli......... na mtakuja drop sana...... usibishe vitu vya kipuuzu kwa africa ya kati na mashariki pia kwa africa kiukweli kaa na uchunguze usilete ushabiki wa kitoto wa kiboya tanzania ina support kubwa sana... na huwa siku zote inatoa matokeo ya ushindihehe sawa chokoch
tufanye sawa sisi ni maskini wa kutupwa swali laja ...I am just speaking in terms of GDP..ila hata kama ni maskini wa kutupwa, Ethiopia itis more developed than tz...so ethiopia comes second after Kenya in East Africa
One. How many students in Dar es salaam have been killed so far?Howmany students from Meru University have been killed so far?
Tanzania bila shaka.tufanye sawa sisi ni maskini wa kutupwa swali laja ...
je kati ya tanzania na kenya ni nchi ipi inaongoza kuwa.na maskini wa kutupwa...?..
huo ndiyo ukweli......... na mtakuja drop sana...... usibishe vitu vya kipuuzu kwa africa ya kati na mashariki pia kwa africa kiukweli kaa na uchunguze usilete ushabiki wa kitoto wa kiboya tanzania ina support kubwa sana... na huwa siku zote inatoa matokeo ya ushindi
mfano mdogo tumeikomboa komoro nyie mmeikomboa nchi gani... africa?
Somalia. Comoros islands maskini hohe hahe kainchi kadogo with 500 Soldiers ndio unaita ukombozi?huo ndiyo ukweli......... na mtakuja drop sana...... usibishe vitu vya kipuuzu kwa africa ya kati na mashariki pia kwa africa kiukweli kaa na uchunguze usilete ushabiki wa kitoto wa kiboya tanzania ina support kubwa sana... na huwa siku zote inatoa matokeo ya ushindi
mfano mdogo tumeikomboa komoro nyie mmeikomboa nchi gani... africa?