Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
- Thread starter
- #21
hahahaha watu wana uhuru wa kujieleza huku Kenya...thats what that is...maoni tu...ila ukweli upo...Kenya ndio inaongoza ukanda huu...hio ethiopia ni maskini hata heri Uganda....kisha wana population mara mbili ya Kenya...hakuna chochote hapoOna wenzako wenye akili wanaelewa kitakachotokea mbeleni![]()
![]()