I find it very funny for those TZ guys laughing at kdf coz alshabaab issues.I liken TZ army with mwanaume ambaye anaskia adui amevamia boma kisha anajifungia ndio anaacha wenzake wanaenda kukabiliana na adui.kisha wanaporudi wakiwa wamekwaruzwa anawacheka eti wao ni walegevu kwa sababu wamezipata alama ilhali yeye mwenyewe hata hakujaribu vita.