KDF forces vs Afghanstan forces

KDF forces vs Afghanstan forces

Hatari!!!!

Hawa Alshabab ni nani na wanataka nini kwa faida ya nani?

Je silaha wanapata wapi????

Huu ni mwaka wa 30 tangu wamtoe Siad Barre (ambaye wakati fulani aliwahi kuwa msuluhishi/mpatanishi kati ya Tanzania na Uganda). Mpaka sasa ninawasiwasi kwamba malengo ambayo walikuwa nayo mpaka sasa wanayo. Sidhani kama mpaka sasa bado wanapambana na adui yule yule wa miaka 30 iliyopita. Itakuwa hata adui wao hawamjui, hususan kwa hawa vijana wa kizazi kipya.
 
Back
Top Bottom