KDF in Mozambique

s juzi tu kenyata kawapa million mia moja na kitu km pole...wanafiki hawa jamaa...wale watu wa turkana waliomba sana walete wao chakula...

yani joto la jiwe aliumwa sana kuskia watu wa turkana eti walisaidiwa na GOK...bwahaaaaa...
Watu wa Turkana walisaidiwa na wachina sio GoK, na hadi sasa hivi bado wanaendelea kufa njaa, soon mtapokea misaada toka TanzanAid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata human haya !
Kama Zimbabwe ilikua na 20,000 ndani ya Mozambique na Tanzania ilikua na only 6,000 , unataka uniambie zimbabwe haikuhusika na kutrain wanajeshi wengi wa frelimo?

Alafu hivyo Vita vilikua vina ungwa mkono na all major communist countries, East German ili support Renamo na West German Frelimo,
Soviet union ilitoa pesa na chakula Kwa wanajeshi wa Frelimo, pia North Korea,Cuba zilisaidia na silahs na chakula........... in fact hivi Vita vilianza kuisha baada ya collapse of the Soviet Union kumaanisha hao external actors ndo walikua major sponsors.....

Kila mtu hua anaona historian tofauti kulingana na kule anakosimama ... Ukiuliza Cuba atakwambia yete ndo alikomboa nchi za Africa Kusini manake walihisika Angola,Namibia,South Africa na Mozambique....


Ukiuliza mkenya au muafrica yoyote atakwambia walipinga ukoloni, ukiuliza mkoloni atakwambia baada ya India kupata Uhuru walianza kujitayarisha kupokeza uongozi Kwa nchi zengine walizokua wamezikoloni .... Hapa Kenya waliangusha mabomu million SITA kwa misitu ya may mau wakitumializotumika Kwa Vita vya WWI .... Walitufanyia unyama na ukatilii wa Hali ya juu, lakini ukiangalia Kwa vitabu vyao na magazeti yaliokua yanaandikwa enzi hizo (ukienda pale Kenya national archives utaona) hizo story ni tofauti kabisa, wanasema tuliua watoto na Bibi zao na mau mau ilikua ni terrorist group ...
 
Tatizo kubwa la ninyi wakenya linalosababisha nchi yenu izidi kuporomoka kila siku ni akili mbovu, ninyi hamna akili kabisaa lakini mnajifanya wajuaji, hovyo kabisa ninyi.
1)Msumbiji ilipata Uhuru 1975, Zimbabwe ilipata Uhuru 1980, vipi Zimbabwe iwe ndio imeosadia Msumbiji wakati bado haijawa Uhuru?. Ninyi wakenya ni hovyo kabisa, ndio sababu Kenya ni failed state


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back to your defence mechanism, ukishaeka kulemewa matusi yanaanza...

Kulikua na kambi ndani ya Tanzania, vile vile Frelimo ilipewa mafunzo ndani ya Zambia...... Wakati huo huo ZANU wa Zimbabwe walikua wamekimbia nchi Yao na walijenga Kambi ndani ya Mozambique ambapo ndo walipigania Uhuru wa Zimbabwe... Lakini kabla Hilo walisaidi Mozambique na wanajeshi karibia 20,000.... Enda ukasome historia yako vizuri ... Tanzania haikuokoa Mozambique singlehandedly kama vile unataka tuamini
 
Hahahahahahaha, ninakuhurumia kwasababu Kenya mlijitenga na Africa nzima katika ukombozi kusini mwa Africa, hamuwezi kujua kilichokua kinaendelea. Ngoja nikuelimishe kidogo.

Vyama vyote vya ukombozi mwa nchi kusini mwa Africa, vilikua na makao yao makuu Tanzania, isipokua ANC ambacho kilikua kilishaanza mapambano ya kudai Uhuru kwa amani, lakini walipoona kwamba hawawezi kupata Uhuru kwa amani, Mandela alikuja Tanzania kuomba JWTZ lianzishe vita dhidi ya Makaburu, ndio pakazaliwa"Nkonto Nsizwe", JWTZ ilianza kazi ya kuwapa mafunzo wakimbizi wa SA waliokuwepo Tanzania, na kuanzisha mapambano ya Silaha kutokea Tanzania.

Robert Mugabe akiwa Tanzania na ZANU-PF aliomba aanzishe vita kwa msaada wa JWTZ, lakini hapakuwa na wakimbizi wengi toka Zimbabwe hapa Tanzania, hivyo haikuwezekana, badala yake kutokana na kupakana kwa Msumbiji na Tanzania, Nyerere aliamua kuikomboa Msumbiji kwanza, then iwe rais kuikomboa Zimbabwe kutokea Msumbiji, ndicho kilichofanyika.

Baada ya Msumbiji kupata Uhuru 1975, Mugabe na Emerson Mnagangwa, walihamisha makao yao toka Bagamoyo, Tanzania na kuhamia Msumbiji, baada ya Msumbiji kupata Uhuru, wazimbabwe wengi walikimbilia Msumbiji kama wakimbizi, hivyo ilikua rahisi kwa ZANU-PF kupata vijana na kuwafanyia train, China ya Brigadier General Hashim Mbita, ndiye aliyeongoza mafunzo ya majeshi yote ya nchi za kusini mwa Afrika, ndani na nje ya Tanzania.

Kwahiyo Zimbabwe haijawahi kuwapa mafunzo Msumbiji, majeshi yote ya Msumbiji na Zimbabwe yalipata mafunzo toka Tanzania, Msumbiji walifunzwa ndani ya Tanzania, na baada ya JWTZ kuikomboa sehemu kubwa ya kaskazini mwa Msumbiji, mafunzo yalifanyika ndani ya Msumbiji, jambo lililowalazimisha wareno kukubali kukaa katika meza ya mazungumzo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
joto la jiwe afu majenerali wawili kupigania uhuru wakawa assasinated huko kwenu...kweli mlisaidia ama mliharibu Mozambique?
 
joto la jiwe mshenzi kabisa wewe unajua kuwa kulikuwa na cival war msumbiji? Mbon hamkusaidia? Ama mlikuwa mshasota?
 
history says otherwise..... Mozambique had as much as 80,000 forces at the height of the Frelimo - Renamo conflict

Mozambique Armed Forces (FAM)

FAM (originally FPLM) was the armed wing of the Frelimo party through the 1970s and 1980s. The FAM was a conscription-based army, relying occasionally on forced recruitment, which during the 1980s comprised as many as 80,000 soldiers and regularly accounted for over 40 per cent of public expenditure. While the FAM was generally committed to the leadership of the party, the army was often disorganized, corrupt and was also implicated in human rights abuses. While certain units were well-trained and effective, the FAM depended greatly on support from Zimbabwean and Tanzanian soldiers during the second half of the 1980s to regain its military superiority over Renamo. Major FAM offensives occurred in east-central Mozambique in 1980 and 1985 and in the north-central provinces centring on Zambézia in 1987-89. Following the peace agreement, over 70,000 FAM soldiers were demobilised and its authority, equipment, infrastructure and remaining personnel were integrated with Renamo’s to form the new national army — the Armed Forces for the Defence of Mozambique (FADM).
https://web.archive.org/web/2011122...org/our-work/accord/mozambique/key-actors.php
 
Ninarudia tena, ninyi wakenya mlibaki pembeni wakati sisi tulipokua tunaikomboa Africa, kwa hiyo tulieni tuwafunze historian ya ukombozi kusini mwa Afrika.

Hii unayozungumzia wewe ni baada ya nchi zote mbili kuwa huru, Mozambique 1975 na Zimbabwe 1980. Katika kipindi hiki JWTZ lilikwisha toka katika hizi nchi, zilikwishajitawala, bahati mbaya sana Mozambique haikuwa stable, walikuwa na Civil war, baada ya kuona RENAMO wanakaribia kuangusha utawala wa Samora, serikali ya Msumbiji ililazimika tena kuomba msaada wa Tanzania kuzuia RENAMO wasikamate Kaskazini mwa nchi.

Wakati huu Tanzania haikupeleka wanajeshi wengi, walipeleka wanajeshi mia tatu pekee. Kazi kubwa ilikuwa ni kuzuia RENAMO wasisonge mbele kukamata Maputo, kulinda Ikulu na kuwasogeza nyuma RENAMO ambao walikuwa wakipata support to serikali ya wazungu wa Africa kusini na nchi za Magharibi. Pia Mozambique waliomba Zimbabwe idhibiti kusini Magharibi mwa Mozambique, ili RENAMO wasipate silaha toka South Africa. Tafadhali usijichanganye kati ya vita vya kuikomboa Mozambique toka kwa Wareno ambavyo 95% jeshi lililopigana ni JWTZ, na vita dhidi ya RENAMO ambavyo 80% ni jeshi la Mozambique lenyewe, sisi tulipigana kwa miezi sita pekee vita vikaisha kwa RENAMO kusalimu AMRI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

a wapi...ukitaka rudia hta mara kumi...ila ukweli umeshajulikana...joint mission kw ajili ya vijana wa mapanga...bwahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…