KDF to buy 118 top military vehicles to fight al Shabaab

Uongo. Kama hujui kitu funga mkund*. Jeshi lilidhibitiwa na jeshi. Vijana wachache wa Kenya airforce waliokuwa wamepanga kupindua serikali walidhibitiwa na jeshi la ardhi yaani army. Sio polisi kama unavyodanganya watu.
umepanick[emoji23][emoji23]
 
jeshi linalinda raia,kama raia wanakufa ni udhaifu wa jeshi.
Jeshi halilindi raia, pia km ni kuhusu mipaka ni udhaifu wa baadhi ya locals kw sababu wao ndio wanachangia..

Hakuna nchi hapa duniani ambayo mipaka haina njia za panya, mimi ukinambia kuhusu locals ndio wanafelisha hapo nitakuunga kw asilimia mia..
Kwa sababu wapo wanaowasaidia mashababi kuingia nchini
 
Kwan kazi ya jeshi ni nini?
 
Uongo. Kama hujui kitu funga mkund*. Jeshi lilidhibitiwa na jeshi. Vijana wachache wa Kenya airforce waliokuwa wamepanga kupindua serikali walidhibitiwa na jeshi la ardhi yaani army. Sio polisi kama unavyodanganya watu.
Itakuwa umefumuliwa marind*maana ni moja ya haki ya kikatiba huko

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Jeshi halilindi raia, pia km ni kuhusu mipaka ni udhaifu wa baadhi ya locals kw sababu wao ndio wanachangia..

Hakuna nchi hapa duniani ambayo mipaka haina njia za panya, mimi ukinambia kuhusu locals ndio wanafelisha hapo nitakuunga kw asilimia mia..
Kwa sababu wapo wanaowasaidia mashababi kuingia nchini
jeshi halilindi raia!!!!

kama locals ndio wanachangia unadhani hizo armored zitasaidia nini!!!tuisifu KDF kununua nyenzo za kazi lakini sio kwamba ndio zinakwenda kuhitimisha alshabaab.

magaidi wana namna yao ya kuwashughulikua.kama mtaendelea kujifanya wajuaji mara zote mtaomba msaada mpaka NATO sio AU peke yake.
 
Umekosa hoja sasa baada ya kuona huna cha kuandika tena...
 
Apart from being a tactical move, this is also a political move. Seeing as Turkey is very fast becoming the main power in Somalia after the pull-out of America, Kenya has decided to get into the good books of Turkey.

Kenya having a close business and millitary relationship with Turkey will mean that Turkey will be reluctant to get involved in the wrangles between Kenya and Somalia's Federal Government.
Mnajipendekeza ili msitandikwe
 
Mbona wabongo mnatokwa na povu namna hii.?.
 
Huwezi kupigana na waasi kwa kutumia magari ya vita ukashinda vita!! Ndio maana Marekani amenyoosha mikono kule Afghanistan, alinyoosha mikono pia Somalia!!
 
Kachukua virago vyake, bado hawa wala sukuma na mirungi....
 
Back
Top Bottom