Jay456watt,
Sawa mtani, umenifanya nicheke sana na kauli yako kuwa tunajikokota kule ''Darislum'', ila mkubali na mfanye ustaarabu wa kutambua uwepo wa AMISOM na washirika wa kimataifa walitoa habari za kiintelejensia ''kwenu'' kupitia drones na special forces zao zilizokuwa zinaita mashambulizi.
Amisom ipo Somalia ---Kuna Uganda (6,700), Burundi(5,400), Ethiopia (5,300), Kenya (3,600), Djibouti(1000) ... that is a fact
Kitu cha kwanza kabla sijaendelea, waashirika wa kimataifa kama vile marekani, hawa ni watu wenye miaka ya ueledi wa vita vya kigaidi, wako na nguvu na mitambo kama vile drone, satelite, special forces......lakini pia ni wasiri mno, hawa hupenda kufanya mambo kivyao, na kama ni kushirikiana wao hushirikiana na Serikali ya Somalia pekee kupitia SNA (somalia national army).... Hao si active participatns wa vita, hua wanafanya intelligence yao tena wana act on it pekeyao....
sasa turudi kwa amisom, ni mara ngapi hua unaskia hizi nchi zengine zikifanya mashambulizi kwa alshabaab? kila mwezi hauwezi kosa kuskia ndege za KDF zimepiga mabomu au wanajeshi wamefanya mashambulizi au wamepigana na alshaabaab mahali flani,
Kila siku najaribu kuwaelezea kwamba KDF ndo iko na wanajeshi wachache kati ya hizo nchi kuu za AMisom lakini inashika doria kubwa zaidi ya hizo nchi zengine combined! lakini hamnielewi.... Wacha leo niwaonyeshe na picha
Kama ni mambo ya intelligence, Ni mara nyingi sana alshabaab hua wanawa makamanda wenzao kwa kuwashuku wana spy for Kenya... juzi tu baada ya KDF kupiga kambi mbili za alshabaab kwa wiki moja, waliamua kuua alshabaab wenzao wenye asili ya kikenya kwa kuwashuku kwamba hao ndo walitoa information ya location zao.....
Hii hapa Inaitwa Long Range Surveillance Unit LRS Kambi yao iko mita chache karibu na Somalia, Hilo jina ni self explanatory --lakini kama bado unaswali, kazi yao ni specific..... kutafuta intelligence huko ndani kabisa behind enemy lines...
Kama ni mambo ya spy drone hii hapa habari kutoka gazeti ya defence ya kimataifa ina confirm KDF ilitumia spy drone kushambulia alshabaab na helicopter na artillery fire
ScanEagle facilitates Kenyan attack in Somalia | IHS Jane's 360
Kenya Army units serving with the African Union Mission in Somalia (AMISOM) used a
Boeing Insitu ScanEagle unmanned aerial vehicle (UAV) to facilitate a successful intelligence-driven attack on the Harakat al-Shabaab al-Mujahideen group in southern Somalia, according to a Kenyan Defence Forces (KDF) source.
This is the first confirmation that the ScanEagle system that was ordered for Kenya under a USD9.8 million contract announced by the US Department of Defense in September 2015 is operating in Somalia.
The ScanEagle detected a large Al-Shabaab force as it appeared to be preparing for an attack against Afmadow in Lower Juba province on 1 March, the source told
Jane's.
Based on this information, the Kenyans in Afmadow assembled a combat group that was supplemented by a company-sized force from the Somali National Army (SNA) and proceeded to move on the evening of 1 March towards a concentration point 6 km from the militants' location, arriving there at midnight, the KDF source said.
The KDF set up artillery positions with 120 mm mortars and 105 mm L118 light guns in preparation for the battle, while infantry supported by Panhard AML-60 and -90 armoured cars and Norinco WZ551 armoured personnel carriers conducted final planning.
At 0600 h local time (0300 h GMT) the following day, Kenya Army Aviation Hughes 500 and Harbin Z9WE attack helicopters attacked the Al-Shabaab camp, targeting armed pickup vehicles, while the artillery fired a barrage. Infantry and armoured vehicles then moved in to mop up the area and suppress the remaining enemy forces.
The attack was concluded at 0845 h local time with
no KDF or SNA casualties, while 57 dead Al-Shabaab militants were counted, according to the KDF source.
Scan eagle
Sasa turudi kwa AMISOM, vile we na wenzio hajui... Amisom ndani ya Somalia imegawanya ndania ya sectors, kila sector ni nchi flani ndo inashika Doria, Kwahivyo next time ukiskia Alshabaab wamevamiwa mahali flani angalia map na we mwenyewe utajua ni nchi gani ya AMISOM imefanya hilo shambulizu, hii hapa latest Map inaonyesha Sectors za Amisom
Angalia Amisom Sector 2 iko southern Somalia ambako alshabaab ndo wanapatikana kwa wingi... KDF ndo walishika mji mkuu wa Kismayu kutoka kwa alshabaab, lakini kutokea 2015 kismayu ilipeanwa kwa Ethiopia na Burundi...
tena isitoshe, Ethiopia wamekua wakiondoa wanajeshi wao kutoka Somalia bila onyo
Ethiopian Troop Withdrawals in Somalia Raise Concern of Al-Shabab Resurgence
Ndio maana ukiangalia hio Map ya Sectors unaona Sector 3 ni ya Ethiopia, lakini ukiangalia, El-adde iko ndania ya sector 3 ambapo kambi ya KDf ilishambuliwa kwasababu ilikua mbali na kambi za KDf ambazo ziko sector 2... hii inadhihirisha vile KDf iko 'stretched thin', wanashikilia doria kubwa sana na wanajeshi chini ya 4000, Doria zengine hata haziko sector 2..
Kabla ya AMISOM kuingia Somalia, alshabaab walikua kote South of Beledwenywe
Haya sasa vile umeona map ya Sectors, angalia map ya 2013 alshabaab controlled areas na hapo kwa yellow ni liberated areas ..
Hebu sasa nikuulize swali, Unafikiri ni jeshi la nani limeuwa Alshabaab wengi zaidi??????
Bonus...picha za KDF ndani ya Somalia