KDF waibamiza kambi ya Alshabaab na kuua 52


Hawa jamaa sasa hawa ni kdf ama GSU?
 
Wekeni picha zamaiti as long as mumejua idadi yawaliokufa musingeshindwa kuziphotoa alshabaab. Wao wakitangaza kuuwa majeshi yakenya huwa wanatuphotolea tukio. Lilivo. Ila sishangai simala yakwanza kwajeshi. Lakenya kutoa taarifa zauongo zidi ya alshabaab
 

Picha za maiti unataka utakula?? Bladifulu....
Elewa jeshini kuna sheria za kimataifa ambazo haziruhusu kuonyesha picha za maiti ya adui.
 
JW halijaenda Somalia sababu sisi si vibaraka wa kwenda kupiganishwa vita isiyotuhusu.Wache al shabab waje ndio tutaenda.
 
Sikua huko, hivyo sijui nani kafanya ila nategemea vyombo vya habari. Anyway, cha msingi baadhi ya hao ndugu zako leo hii hawapo tena, inabidi kuandaa msiba.
[emoji38] [emoji38] aya bwana any way hongera Kwa wao mission kucomplete
 
Our Men go on Special tasks, finish the Job and come back Home. ( See Comoros, M23 In Congo, Lebanon, Sudan) RESPECT OUR HEROS.


mtapigana na hao wakora wa m23 pekeyake ila msithubutu kuingiza mguu somali....panya road tu wanafanya wanaume wote wa dar sawa na wanawake kwa uoga
 
Wanajeshi wa kenya ni vioga balaa, toka 2008 wapo Somalia wanachoma mkaa bogus kwel hawa jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…