KDF wamuua gaidi wa al-Shabab na wanawe wawili

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Katika Hali isiyokuwa ya kawaida wanajeshi wa Kenya KDF wamewaua watoto wawili wanaokuwa wanaishi na baba yao ambaye anashukiwa kuwa Ni gaidi wa ALSHABAB.

Hali hiyo ilitokea wakati polisi walipofika katika makazi ya gaidi Huyo ambaye aliwatumia watoto hao kuwaokoa watoto hao Kama ngao ya kuzuia KDF wasimkamate.

'Gaidi Huyo alikataa kukamatwa Kisha kurusha grunate la mkono, ambapo wanajeshi walijibu kwa kuvurumisha risasi zilizomuua gaidi Huyo na watoto haowawili.

Mke na watoto wengine watatu wa mshukiwa Huyo ambao nao walijeruhiwa wamelazwa hospitali.



=========

al-Shabaab suspect who used his 2 children as human shield killed in dawn attack

Police officers killed a suspected al-Shabaab millitant early Saturday morning at his house in Diani, reports say.
The suspect’s two children that he was using as human shield were also killed.

According to a police report, the suspect refused to surrender and instead, tossed a grenade at the officers injuring one of them.

It was then that the officers opened fire, killing the suspect and two of his children.

His wife and three other kids are currently receiving medical attention having sustained injuries from the raid.
An al-Shabaab suspect Saidi Chitswa alias Ninja who is in police custody is said to have led officers to the suspect’s house after reports that there was a plan to attack an unnamed police station.

During the raid, officers recovered several jungle uniforms and a grenade.

This comes barely two weeks after five al-Shabaab militants were killed after the Kenya Defence Forces (KDF) soldiers foiled an attack on Somali Security Forces (SSF) stationed in Bilis Qooqani.

According to a statement from the Ministry of Defense, close to 20 Al-Shabaab militants had attacked the SSF station from three different directions at around 12:30am.

A KDF unit operating under AMISOM and stationed in the area however dispatched a special platoon of soldiers to assist their Somali counterparts.

“After the gunfight, KDF troops had killed 5 al Shabaab terrorists, they also recovered 5 AK47 rifles and several rounds of ammunition,” read the statement.

“KDF will continue to work closely with SSF in support of operations to restore peace and reduce the threat posed by Al-Shabaab. Additionally, KDF will continue to build capacity of SSF as well as assist them in stabilization, reconciliation and peace building in Somalia.”

Source: Citizen TV
 
Hostage? Hiyo taarifa hapo inasema mshukiwa aliwatumia watoto wake kama 'human shields'. Hii lugha kweli ilikuja kwa meli, ungetumia google translate kwanza kabla ya kuanzisha uzi wako.
Huelewi wewe..watoto hao walishikwa mateka...so hao shababu wakawa wanawatumia Kama ngao yao..punguza ujuaji boya wewe
 
Huelewi wewe..watoto hao walishikwa mateka...so hao shababu wakawa wanawatumia Kama ngao yao..punguza ujuaji boya wewe
Unajiabisha bure, huelewi hiyo taarifa ulioleta humu wewe mwenyewe. Unasema 'hao shababu' wakati ni mtu mmoja, kisa tu umeona hiyo picha ya zamani ya magaidi kule Somalia iliyoandamana na ripoti ya CitizenTv? [emoji1] Hakuna mtoto aliyeshikwa mateka. Mshukiwa alifumaniwa kwake nyumbani Diani ila akakataa ku'surrender', kisha akawatumia watoto wake wawili kujikinga, baada ya kuwatupia afisaa kilipuzi. Yeye na watoto wake wawili wakauwawa, mke wake na watoto wake wengine watatu wakaokolewa na wanapokea matibabu hospitalini. al-Shabaab suspect who used his 2 children as human shield killed in dawn attack - Citizentv.co.ke
 

Jamaa lugha imempiga chenga kaanzisha uzi kwa mihemko.
 
Kama wewe ni hostage alafu ukasikia KDF ndio wanakuja kukuokoa ni bora ukatae ubaki na wateka nyara...maana wako so incompetent kwa kila idara.. Hilo ndio somo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
How do you use two kids as human shield?

A thing is, you will need one hand to grab that kid as he will be busy trying to escape your reach and the other hand to grab a gun or a grenade.

In our case this guy had a grenade.

So How the hell was he able to grab two kids and a grenade at the same time?

Is it possible these kids were in on it? Or KDF is a shitty army? Na kuna mjinga juzi akaja kudai eti jeshi lao ni moto duniani na Tz ni wachumba tu
 
Acha kufanya 'direct translation'. 'Human shield' haimaanishi kwamba eti ni binadamu ameshikiliwa mkononi kama ngao. [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hivi ni vita ipi ambayo Kenya imeshinda?
1. Njaa
2. Alshabaab
3. Ethiopia (Kuhusu ndege yao)
4. Rushwa
5. Ukabila
6. Covid 19
7. Border trade conflicts with Tanzania
8. Tourism against Tanzania
9. Chinese Debts
10. Land grabbing by the few politicians
Nb
Magufuli kasema mgogwe tu bei ya mazao, si tulima nyinyi mmejifungia halafu mnachukua mikopo hahahaha
 
Kenya $100b GDP
Tanzania $60b GDP
Hio Tanzania imeshindwa na Kunyaland.
 

 
Hio picha hapo nikiicheki huwa inanipa maswali mazito. Yaani hao Al shabbab ni full Military Unit, wanavifaa vya maana. Cha kushangaza, pesa wanatoa wapi hawa za kuendesha izi shughuli zao? Na silaha huwa wanakuwa nazo vipi kwa wingi?

Masuala ya Defence yakiwa kwenye private hands ni matatizo.
 
Silaha wanapora za KDF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…