KDF washindwa kukabiliana na majangili huko Turkana, wakazi walalamika

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

MY TAKE; Ikumbukwe kwamba hata huko DRC ambako KDF walikwenda kupambana na M23, hakuna lolote wameweza kufanya na wakaazi wa maeneo hayo wametaka KDF waondoke kwasababu hawana msaada wowote.
 
Hivi inakuwaje jeshi la serikali linashindwa jambo kama hili? Ni udhaifu na aibu sana! MK254
Kénya ni nchi ya hovyo Sana mkuu, yaani neno "planning" kwao halipo, Kila kitu wanakurupuka, hawajiandai Wala kuweka mipango, kwao ni kutafuta sifa na umaarufu tu, Kila wanalofanya wanashindwa, ukiona mradi umekamilika Kenya, ujue watekelezaji ni wageni.
 
Kabisa aysee! Hili la kushindwa na majangili ni mfano tosha!
 
Kénya ni nchi ya hovyo Sana mkuu, yaani neno "planning" kwao halipo, Kila kitu wanakurupuka, hawajiandai Wala kuweka mipango, kwao ni kutafuta sifa na umaarufu tu, Kila wanalofanya wanashindwa, ukiona mradi umekamilika Kenya, ujue watekelezaji ni wageni.
Sasa Tanzania ina lipi la maana la kujivunia mbele ya wakenya ?
Kitu pekee tulichowazidi wakenya ni
1. Uoga
2. Uzembe
3. Ukubwa wa ardhi
4. Utaoaji wa elimu mbovu.
5. Kuzubaa zubaa.
6. Kukalia fursa za kiuchumi.
7. Mengineyo
 
Hivi wewe si ndo lile shoga la Kenya lilikokuwa linajitangaza mitandaoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MY TAKE; Ikumbukwe kwamba hata huko DRC ambako KDF walikwenda kupambana na M23, hakuna lolote wameweza kufanya na wakaazi wa maeneo hayo wametaka KDF waondoke kwasababu hawana msaada wowote.
Hivi kwan jwt bado hawajaenda kuungana na kdf huko congo kam wana eac?
 
Back
Top Bottom