joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MY TAKE; Ikumbukwe kwamba hata huko DRC ambako KDF walikwenda kupambana na M23, hakuna lolote wameweza kufanya na wakaazi wa maeneo hayo wametaka KDF waondoke kwasababu hawana msaada wowote.
Tanzania, South Afrika na Malawi walifanya kazi nzuri Sana, tatizo ni uwezo wa KDF ni mdogo sana.kwa DRC hata wewe ukipelekwa utasahau kilichokupeleka utaanza kuzoa almasi na dhahabu tu
Suala la turkana,baringo,elgeyo marakwet na west pokot lisikieni tuuu. Hayo maeneo ni hatari sana na geographia yake imekaa kimtego sana. So yeyote anaweza uawa muda wowote.Hivi inakuwaje jeshi la serikali linashindwa jambo kama hili? Ni udhaifu na aibu sana! MK254
Mkuu, hii lugha unayotumia ni lugha hatari sana, mara nyingi hutumiwa na wakenya kuhalalisha madhahifu YaoSuala la turkana,baringo,elgeyo marakwet na west pokot lisikieni tuuu. Hayo maeneo ni hatari sana na geographia yake imekaa kimtego sana. So yeyote anaweza uawa muda wowote.
Na wizi wa kura...Kénya ni nchi ya hovyo Sana mkuu, yaani neno "planning" kwao halipo, Kila kitu wanakurupuka, hawajiandai Wala kuweka mipango, kwao ni kutafuta sifa na umaarufu tu, Kila wanalofanya wanashindwa, ukiona mradi umekamilika Kenya, ujue watekelezaji ni wageni.
8. Raisi kuchaguliwa na wa-Venezuela.Sasa Tanzania ina lipi la maana la kujivunia mbele ya wakenya ?
Kitu pekee tulichowazidi wakenya ni
1. Uoga
2. Uzembe
3. Ukubwa wa ardhi
4. Utaoaji wa elimu mbovu.
5. Kuzubaa zubaa.
6. Kukalia fursa za kiuchumi.
7. Mengineyo