Kebehi kwa Juma Mgunda, tumesahau historia?

Nazungumzia mitaani tunakoishi na acha kujifanya hujui kusoma kwa ufahamu. Na pia: Sijampangia mtu na wala sitampingia mtu yoyote maisha kwani hata huo uwezo sina. Ila kusema au kuandika ninachoona na kuamini siwezi kuacha. Ukiona umekereka sana usisome.
 
Mgunda cheti cha Caf A hana ko na yeye awezi simama kama kocha mkuu huko Malawi.

Viongozi wa hii timu ni bure kabisa
Unajisikiaje kwa kuandika huu ujinga mbele ya watu wenye akili timamu.
 
Wewe jamaa bhana! Unazungumzia mitaani kwani sisi humu jukwaani tunaishi mbinguni!! Anyway, tuuhitimishe tu huu mjadala.

Ila ufahamu fika, watu wanabishana humu jukwaani na maisha huku mtaani yanaendelea kama kawaida.
Na hakuna cha ufukara wala nini.
 
Hapa sasa nimekuelewa. Kuelimishana na mtu ambaye hata hajui ufukara ni nini ni kupoteza muda.
 
Hapa sasa nimekuelewa. Kuelimishana na mtu ambaye hata hajui ufukara ni nini ni kupoteza muda.
Kwahiyo JF ifunge majukwaa yote tubaki na la siasa? Unajua jukwaa hili ni moja ya majukwaa yenye michango kidogo isipokuwa siku za game kubwa? Kama watu wanapenda mipira sana si ndio ingekuwa jukwaa pendwa kuliko jukwaa la siasa?

Umefanya utafiti upi kufikiri watu hawajadili tozo na uchafu kama huo? Kama kusingekuwa na mijadala au wananchi hawalalamiki akina Steve Nyerere unafikiri wangeibuka? Kamati kuu ya CCM ingejadili na kutoa tamko?

Mimi na wewe hatuhitaji ku push raia wajadili tu matatizo, matatizo ndio yanawafikisha kwenye angle ya kuacha hata vitanda vyao kudai haki zao.

Wengine tunakuja huku kutuliza vichwa alafu bado mnakuja kuturudisha kwenye tozo [emoji19]
 
I told you guys [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…