Keffiyeh ya kiarabu ndiyo imezaa neno kofia? Na baraghashia ni kitu gani?

Keffiyeh ya kiarabu ndiyo imezaa neno kofia? Na baraghashia ni kitu gani?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Kuna hivi vitambaa waarabu hujifunga vichwani. Vinaitwa Keffiyeh. Ndiyo asili ya neno Kofia? Na neno baraghashia limetoka wapi?
images - 2026-10-20T165052.912.jpeg
 
Uliwahi ona wanao vaa za hapo mwishoni wanaaakili yeyote 😂😂😂😂😂😂
 
kwa kweli sisi zetu ni dua tu.ilisikika sauti ya bwana mmoja aliekua amevaa msuri na barakashia
 
kwa kweli sisi zetu ni du LPa tu.ilisikika sauti ya bwana mmoja aliekua amevaa msuri na barakashia
Msuli ni vazi la kihindi na wao wanaita Lungi au dhoti. Sijui ikawaje likaitwa msuli?!
 
Back
Top Bottom