Keffiyeh ya kiarabu ndiyo imezaa neno kofia? Na baraghashia ni kitu gani?

Uliwahi ona wanao vaa za hapo mwishoni wanaaakili yeyote 😂😂😂😂😂😂
 
kwa kweli sisi zetu ni dua tu.ilisikika sauti ya bwana mmoja aliekua amevaa msuri na barakashia
 
kwa kweli sisi zetu ni du LPa tu.ilisikika sauti ya bwana mmoja aliekua amevaa msuri na barakashia
Msuli ni vazi la kihindi na wao wanaita Lungi au dhoti. Sijui ikawaje likaitwa msuli?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…