Keith Sweat Vs R Kelly

etum

Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
70
Reaction score
51
Wale wapenzi wa classic RnB music hasa miaka 1990s, kati ya hawa nguli nani ulimkubali zaidi?? Nafahamu wote walikuwa wakali na wenye vibao hatari sana

Baadhi ya nyimbo bora za Keith Sweat
1. Twisted
2. No body
3. How do you like it
4. Make it last forever
5. Why me Baby
6. I 'll give all my love to you
7. How deep is your love
8. Get up on it (ft. Kut Klose)
9. Its getting better etc

Baadhi ya nyimbo bora za R Kelly
1. Bump n Grind
2. Storm is over
3. Your body is calling
4. I believe I can fly
5. World's greatest
6. I Wish
7. if i can turn back the hand
8. Ignition
9. Same Girl etc

Lets go back to the times Guys
 
Storm is over
 
R. Kelly huwez kumlinganisha na mwanamuziki yeyote katika miondoko ya RnB Marekani.. Kama asingekuwa na tabia mbaya ya kupenda kuvirukia vitoto pengine R Kelly angeweza kubaki juu katika chati za muziki wa RnB.. Badala yake sasa maisha yake yanaelekea kuwa ni ya jela, kama ilivyo kwa gwiji wa vichekesho Bill Cosby ambae kuna wakati alichukuliwa kama "American dad"..
 
RKelly hajawahi kupata mpinzani
 
Mpaka leo sijaona mwanamusic solo artist wa rbn mkali kama Rkelly na Joe Thomas, kwa upande wa group kwangu mimi ni Boys 2 men
Joe Thomas alitikisa pia miaka ya 90s, hawa watu wamepotea kabisa
 
Pia No Body na How Do I like it aliyomshirikisha Left Eye bonge la track aisee

Huwezi mfananisha na RK ana hit nyingi na amedumu muda mrefu toka 97 KS sijamsikia tena
 
Huyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu

Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
We ndo hujui muziki mjomba, R kelly ni legendary wa R&B kwa level yako ya kuufahamu muziki but in real sense ni Keith Sweat legendary zaidi ingawa pia R Kelly ana hit nyingi na aneouga collabo na stars kibao kunogesha hits zake ktk variety ya radha.

Keith sweat ni level za kina Gerald levert, Johnny Gill, Alexender O'neal, Bob Brown, James Ingram, Nu shoes, total contrast, Abraham Colonies and the like ambao wanahit nzuri chache chache ingawa ni hits zao ni nzur japo chache....!!

Kimziki bado naamini walioweza kuwa bora 80's they will remain Dope classic ever!! Muziki wao upo na true Rhythm!! Coz R&B nyingi za 90's zimebeba vionjo vya 80's!!
 
Na kukariri nyimbo kwa sana bila kasahau mambo ya dedication😁
Rnb za 90's -2000yr nyingi ninazo bado nazisikiliza sana.

Bado nasikiliza pia, maana ile miziki kwangu yooote inamatukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…