Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Keith sweat namkubali sana nyimbo zake kali hakiwa na wale wadada wa kut klos ni noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said brother na mimi nashangaa kwa nini watu wanamchukulia poa sana Keith Sweat. Nimependa hiyo list iliyoitoa hapo juu umenikumbusha nguli Bobby Brown huyu jamaa alitisha sana enzi hizo ila umemsahau Luther VandrossWe ndo hujui muziki mjomba, R kelly ni legendary wa R&B kwa level yako ya kuufahamu muziki but in real sense ni Keith Sweat legendary zaidi ingawa pia R Kelly ana hit nyingi na aneouga collabo na stars kibao kunogesha hits zake ktk variety ya radha.
Keith sweat ni level za kina Gerald levert, Johnny Gill, Alexender O'neal, Bob Brown, James Ingram, Nu shoes, total contrast, Abraham Colonies and the like ambao wanahit nzuri chache chache ingawa ni hits zao ni nzur japo chache....!!
Kimziki bado naamini walioweza kuwa bora 80's they will remain Dope classic ever!! Muziki wao upo na true Rhythm!! Coz R&B nyingi za 90's zimebeba vionjo vya 80's!!
Huyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu
Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
"Cruel" ya Bobby Brown ni noma ... Luther Vandross nae ngoma naikubali ni "Dancing With My Father" au cover yake na Mariah Carey ya "Endless Love" (In my point of view) ni bora kuliko original ya Lionel Richie na Diana Ross.Well said brother na mimi nashangaa kwa nini watu wanamchukulia poa sana Keith Sweat. Nimependa hiyo list iliyoitoa hapo juu umenikumbusha nguli Bobby Brown huyu jamaa alitisha sana enzi hizo ila umemsahau Luther Vandross
Du umenikumbusha Lionel RICHIE pia. Great Mention"Cruel" ya Bobby Brown ni noma ... Luther Vandross nae ngoma naikubali ni "Dancing With My Father" au cover yake na Mariah Carey ya "Endless Love" (In my point of view) ni bora kuliko original ya Lionel Richie na Diana Ross.
We we ndio wale shabaki maandazHuyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu
Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
[emoji33][emoji33][emoji33]
Huyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu
Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
Umemaliza....... Nakuunga mkono asilimia zote.Mpaka leo sijaona mwanamusic solo artist wa rbn mkali kama Rkelly na Joe Thomas, kwa upande wa group kwangu mimi ni Boys 2 men
Umezaliwa 2000 nini?Huyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu
Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
Actually na miaka ya 2000 hadi sasa bado anatoa nyimbo ingawa ndio hivi media zimeshikwa na watu uselessJoe Thomas alitikisa pia miaka ya 90s, hawa watu wamepotea kabisa
R kelly is the best
ila kama unaifuatilia RnB kama haumjui Keith Sweat, kuna mahali una serious serious problem
tunaowakumbuka hawa jamaa ni wahenga wa kutosha, enzi ya ITV2Umezaliwa 2000 nini?
We ndo hujui muziki mjomba, R kelly ni legendary wa R&B kwa level yako ya kuufahamu muziki but in real sense ni Keith Sweat legendary zaidi ingawa pia R Kelly ana hit nyingi na aneouga collabo na stars kibao kunogesha hits zake ktk variety ya radha.
Keith sweat ni level za kina Gerald levert, Johnny Gill, Alexender O'neal, Bob Brown, James Ingram, Nu shoes, total contrast, Abraham Colonies and the like ambao wanahit nzuri chache chache ingawa ni hits zao ni nzur japo chache....!!
Kimziki bado naamini walioweza kuwa bora 80's they will remain Dope classic ever!! Muziki wao upo na true Rhythm!! Coz R&B nyingi za 90's zimebeba vionjo vya 80's!!
Huyu mtu ana sauti tamu nyimbo kali, kama BABY I"M READY, huu wimbo mzuri balaa..Gerald levert alikua namba ingine plus sauti yake haijawahi tokea hiyo sauti ya simba