Kejeli za Kamanda Murillo hazifiki hata Nusu ya zile za Mahita, hata hivyo kuna maisha baada ya Upolisi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hakuna Polisi wa Tanzania aliyevunja rekodi ya Ukatili wa IGP wa zamani Omari Mahita, lakini tuiangalie hali ya sasa ya Omari Mahita baada ya Upolisi wake kwisha

Hapa chini ni picha ya Mahita wa leo akipokelewa na RPC Murillo kwenye maziko ya OCD wa Chanika



Kwa Kejeli za Mahita usingedhani kama kuna siku atakuja kuchechemea.

Ndio maana tunashangaa hizi kejeli za RPC wa DSM

Hebu someni hapa kauli zake, Je anadhani atakuwa Polisi milele? kulikuwa na haja gani kutoa kejeli hizi?

 
Hii nchi amani na upole wa wananchi umegeuka laana, unadhani nchi ambazo zimepitia vita za wenyewe kwa wenyewe kuna huu ujinga? Maana hao polisi wangesakwa mmoja baada ya mwingine ila kwakuwa wanajua sisi tumezubaa basi na wao wanatunyanyasa. Natamani tungepata hata raia wa Kenya kama laki 1 tu wangetosha kutuamsha hapa Dar.

Mambo yanakera sana
 
Kumbe basi ni muda wa kuwa kamata wote waliotoa taarifa za uongo ikiwa ni pamoja na kukamatwa,kupigwa na kutupwa porini.Kwa kuwa ni makosa na wametoa taarifa za uongo mbona imechukua muda mrefu kuwa kamata na kuwafikisha mahakamani.Mbona mwenyekiti wao haikuchukua muda?
 
Mapolisi wa Bangladesh waliokuwa wakitumwa na yule Mama raisi wao aliyetimuliwa ilifikia wakawa hawawapigi tena wananchi wakajiunga na wananchi na yule Mama akakimbia na helicopter.
Your browser is not able to display this video.
 
huyo mahita sijui kama atatoboa maana sio kwa kuchoka huko!
 
Tumuachie Mungu? Kenya hawana huu utaratibu wa kumuachia Mungu
 

View: https://www.instagram.com/p/DI_4YPrN6DM/?img_index=3&igsh=MWkyeTR0dTZra2ZtbA==
 
Na nyinyi chadomo mjue kuna maisha baada ya vurugu
 
Na nyinyi chadomo mjue kuna maisha baada ya vurugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…