Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #21
Mpongeze na MahitaHongera kamanda Murilo
Unastaafu soon ukiwa na heshima kubwa
Mpongeze na MahitaHongera kamanda Murilo
Unastaafu soon ukiwa na heshima kubwa
Sawa wewe mpongeze Msigwa boss wako wa zamanMpongeze na Mahita
Msigwa huyu huyu ndugu yake Magufuli?Sawa wewe mpongeze Msigwa boss wako wa zaman
Huyo huyo chawa wa LissuMsigwa huyu huyu ndugu yake Magufuli?
Basi hayaHuyo huyo chawa wa Lissu
Wala hata hachelewi, angalia Jiwe alivyoadhibiwaYani Mungu angekuwa anatoa adhabu on time kwa hawa watesi aisee.
Mda wake wa kusitaafu umefika cha ajabu bado yupo ofisini akiwafanyia chadema maovuHuyo Mhaita alikuja kwenye msiba wetu, alikuwa kachoka zaidi ya hapo, mapolisi wa kike wakawa wanamcheka sana, wanasema babu kwisha habari yake.
Kingine hiyo Jumanne Muliro kaacha kwenda kuomba hela kwa mabilionea? anatiaga huruma akisubirishwa, wanapenda pesa za bure, hadharani ndiyo anajifanya mbabe.
Vurugu zipi? toka wapi? Mahakamaccm sasa imeingiliwa na Polisiccm haipo huru jaji mkuu anapangiwa utaratibu na Polisiccm kwenye mahakama zake.Na nyinyi chadomo mjue kuna maisha baada ya vurugu
Watapata Adhabu kubwa laana nyingi zitawandama kulujuani Alibadiri nyingi na visomo vingi watasomewa wale Polisiccm wote walioshiriki vitendo haramu vya kuwaonea chademaYani Mungu angekuwa anatoa adhabu on time kwa hawa watesi aisee.
Muache tuu,sura yenyewe imekaa kifokifo!Wapo polisi Wema sio huyu kama anakula msuba!Hakuna Polisi wa Tanzania aliyevunja rekodi ya Ukatili wa IGP wa zamani Omari Mahita, lakini tuiangalie hali ya sasa ya Omari Mahita baada ya Upolisi wake kwisha
Hapa chini ni picha ya Mahita wa leo akipokelewa na RPC Murillo kwenye maziko ya OCD wa Chanika
View attachment 3318829
Kwa Kejeli za Mahita usingedhani kama kuna siku atakuja kuchechemea.
Ndio maana tunashangaa hizi kejeli za RPC wa DSM
Hebu someni hapa kauli zake, Je anadhani atakuwa Polisi milele? kulikuwa na haja gani kutoa kejeli hizi?
View attachment 3318844View attachment 3318845View attachment 3318846View attachment 3318848
Wanatia Aibu sanaHuyo Mhaita alikuja kwenye msiba wetu, alikuwa kachoka zaidi ya hapo, mapolisi wa kike wakawa wanamcheka sana, wanasema babu kwisha habari yake.
Kingine hiyo Jumanne Muliro kaacha kwenda kuomba hela kwa mabilionea? anatiaga huruma akisubirishwa, wanapenda pesa za bure, hadharani ndiyo anajifanya mbabe.
Polisiccm wote walioshiriki vitendo haramu vya kishetani watavuna walichopanda kulujuani, Albadiri na visomo vingi vitawandama kama nyukiMuache tuu,sura yenyewe imekaa kifokifo!Wapo polisi Wema sio huyu kama anakula msuba!
Polisiccm wote walioshiriki vitendo haramu vya kishetani watavuna walichopanda kulujuani, Albadiri na visomo vingi vitawandama kama nyukiMuache tuu,sura yenyewe imekaa kifokifo!Wapo polisi Wema sio huyu kama anakula msuba!
😆😆😆😆 Kulujuan!Polisiccm wataandamwa ni vingi huku kulujuani Alibadiri visomo vingi na huku mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague