Kejeli za Kamanda Murillo hazifiki hata Nusu ya zile za Mahita, hata hivyo kuna maisha baada ya Upolisi

Yani Mungu angekuwa anatoa adhabu on time kwa hawa watesi aisee.
 
Huyo Mahita alikuja kwenye msiba wetu, alikuwa kachoka zaidi ya hapo, mapolisi wa kike wakawa wanamcheka sana, wanasema babu kwisha habari yake.

Kingine hiyo Jumanne Muliro kaacha kwenda kuomba hela kwa mabilionea? anatiaga huruma akisubirishwa, wanapenda pesa za bure, hadharani ndiyo anajifanya mbabe.
 
Polisiccm mmoja mmoja watashitakiwa kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague Uholanzi
 
Mda wake wa kusitaafu umefika cha ajabu bado yupo ofisini akiwafanyia chadema maovu
 
Na nyinyi chadomo mjue kuna maisha baada ya vurugu
Vurugu zipi? toka wapi? Mahakamaccm sasa imeingiliwa na Polisiccm haipo huru jaji mkuu anapangiwa utaratibu na Polisiccm kwenye mahakama zake.
 
Yani Mungu angekuwa anatoa adhabu on time kwa hawa watesi aisee.
Watapata Adhabu kubwa laana nyingi zitawandama kulujuani Alibadiri nyingi na visomo vingi watasomewa wale Polisiccm wote walioshiriki vitendo haramu vya kuwaonea chadema
 
Muache tuu,sura yenyewe imekaa kifokifo!Wapo polisi Wema sio huyu kama anakula msuba!
 
Walikuwepo akina magu, Bokasa, mabutu, idd Amini Dada, mangistu haile Marium, Elibashiri, makaburu, Sadam Hussein, Chiluba , Rungu na wenzao Leo hii wapo wapi?
 
Wanatia Aibu sana
 
Muache tuu,sura yenyewe imekaa kifokifo!Wapo polisi Wema sio huyu kama anakula msuba!
Polisiccm wote walioshiriki vitendo haramu vya kishetani watavuna walichopanda kulujuani, Albadiri na visomo vingi vitawandama kama nyuki
 
Muliro ana kosa gani?
Ametoa tahdhari mchana kweupe wiki 2 zimepita sasa.
Nyumbu mmeshiba mkaenda kufukua Nyuki.
Mkitandikwa huko mnalalamika tena.
Hawa wana hamu ya kupigwa afande ongeza jeshi.
Wameshiba hao.
 
Polisiccm wataandamwa ni vingi huku kulujuani Alibadiri visomo vingi na huku mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague
 
Polisiccm wataandamwa ni vingi huku kulujuani Alibadiri visomo vingi na huku mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Kulujuan!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…