Kejeli za Kamanda Murillo hazifiki hata Nusu ya zile za Mahita, hata hivyo kuna maisha baada ya Upolisi

Sasa ulitaka Mahita awe kijana miaka yote? Huoni huo ni uzee? Acha kuchanganya mambo. Usiwe kama Lema ambaye huwaambia watu watakufa ila na yeye alivyoshtuliwa kidogo tu kaandika waraka mrefu huko Twitter huku jasho likimtoka..
 
Polisiccm wote walioshiriki vitendo haramu vya kishetani watavuna walichopanda kulujuani, Albadiri na visomo vingi vitawandama kama nyuki
Tena huyu jamaa akistaafu,ukichanganya na raia na hiyo sura yake,Uhaini unamuhusu!Sura Mbeya,roho mbaya,ataishije uraiani!Kuna Rpc Mmoja hivi aliishia vizuri na raia hadi chama tawala na wananchi wa Arusha akalamba ukuu wa mkoa,uenyekiti wa kijani nk Huyu akistaafu hata akiwa na kiwanja jirani nae Bora uuze maana hakitauzika Baadae!
 
Muliro ana kosa gani?
Ametoa tahdhari mchana kweupe wiki 2 zimepita sasa.
Nyumbu mmeshiba mkaenda kufukua Nyuki.
Mkitandikwa huko mnalalamika tena.
Hawa wana hamu ya kupigwa afande ongeza jeshi.
Wameshiba hao.yeye
Mlilo hana mamlaka ya kuzuia chadema kwenda mahakamani hata kama yeye ni Polisiccm na hiyo ni mahakamaccm inayojiendesha kwa sheria za ccm na maagizo ya ccm, sheria inawaruhusu watu kwenda mahakamani lakimi RPC Mlilo yupo juu ya sheria anazuia watu kienyeji kwa njia haramu za kishetani
 
Polisiccm walioshiriki vitendo haramu vya kuwapiga chadema kuwabambikia kesi ya uhaini Lisu watambue kuwa malipo ni hapa hapa Duniani Hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake, wapo wapi madikiteta waliotisha Duniani akina Hitila, idd Amin Dada,Bokasa, magu, makaburu, mabutu, Chiluba, Elibashiri, Sadam Hussein na wenzao? Mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
 
Kwani Yesu mbona alikufa alimbambikia nani kesi!?? mbona Mtume nae kafa?

Kwahiyo mtu kufa ni mwisho mbaya!??
 
Taratibu mkuu 'j'unior'.
Hayo ya Kenya kwanza tuyaache huko huko kwao. Hapa tunazo njia zetu, usikate tamaa kungali mapema hivyo.

Ninacho kusihi, wewe na wanachama wenzio na wapenzi, ndani ya chama (CHADEMA), kazi hii ya kuwafikia wananchi mitaani na vijijini msiwaachie viongozi wakuu pekee; hii ni kazi ya wanachama wote kuwaelimisha wananchi kulinda HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka wenyewe, na siyo wanaowataka Samia na genge lake.
Mkifanya kazi hiyo vyema huko mitaani, hayo ya Kenya itakuwa ni kamamaigizo.

Serikali inawaondoa viongozi wenu wakuu wasiifanye hiyo kazi ya kuwaelimisha wananchi. Tafuteni njia mbadala za kuendeleza mapambano hadi Oktoba.
 
Unaweza kuniwekea hapa vurugu ilizowahi kufanya Chadema Mahakamani?
Picha nzuri hiyo ya Mahita uliyoweka hapo.
Wakati nikitafakari na kuisoma vizuri hiyo picha na mada yako, mara nikaijiwa na swali, ambalo pengine utanisaidia kulijibu.
Swali lenyewe ni hili: Hivi IG wa polisi sasa hivi ni nani.
Mbona huyu Mulilo ndiye anaonekana kuwa kama mwenye mamlaka yote ya kipolisi. Kila siku anatoa maelezo ya hovyo hovyo tu; ndiye amekuwa IG?
 
Mapolisi wa Bangladesh waliokuwa wakitumwa na yule Mama raisi wao aliyetimuliwa ilifikia wakawa hawawapigi tena wananchi wakajiunga na wananchi na yule Mama akakimbia na helicopter.
View attachment 3318896
Yule Mama Sheikh aliumiza watu sana, lakini mwishowe akang'oka tu. Hiyo ndiyo njia anayoitafuta Samia sasa hivi, kuondoka kwa aibu.
 
Akili za wanachadema za hovyo kweli Kwa hiyo watu wasizeeke wasife wabaki kama walivyo,wawaache mfanye mnavyotaka nyinyi ,wawaache muandamane mahakamani ,shughuli zikwame ,kiufupi miatafute nchi nyingine hii mtaendelea kuomba wenye mamlaka wage na wazeeke wakati ni nature tu .
 
Kwani Mahita ana shida gani we ngedere? Alishamaliza majukumu yake, uzee ht we utazeeka. Aliyekuwa Rais wake ameshatangulia, umeona nini cha ajabu Mahita kuzeeka? Sazingine kafiche huo upumbavu wako. Kwa hiyo waache kutimiza wajibu wao mfanye uhalifu? Kamanda Muliro anahitaji pongezi kubwa sana.
 
W We mbwa koko ingieni msituni, hakuna mtanzania mpumbavu km wewe na wenzio wafanye hayo matope unayoyawaza. Kwanza kwanini wafanye hivyo? Ili hao vibaraka wavuta bangi waingie ikulu? Kamwe asilani hao mambwa hawatapewa nchi yetu
 
Kahamie siyo Kenya Sudan ili hayo mapepo yako yatulizwe. Kenya ipi wakati waliuawa wa kutosha na wameomba poo kuna nini kimebadilika Kenya? Una uvundo kichwani wewe.
 
Kahamie siyo Kenya Sudan ili hayo mapepo yako yatulizwe. Kenya ipi wakati waliuawa wa kutosha na wameomba poo kuna nini kimebadilika Kenya? Una uvundo kichwani wewe.
Nani kaomba poo? Si Rais aliondoa muswada na kuvunja baraza la mawaziri hadi kupigia magoti upinzani waingie serikalini otherwise angekua ameshapinduliwa. Tokea Moi aondolewe Umewahi sikia Odinga kafungwa au kakamatwa? Maana wanajua nchi itavurugika coz 2007 walitiana heshima. Hawa ni kuwatafutia sniper team unaondoa mmoja mmoja discreetly au unawapiga hata polonium maana tupo nao mtaani huku.

Los pepes itumike bongo
 
Mkuu vita haifai...ombeni tu nusura toka kwa M/mungu anatosha kuwa mtetezi wenu kama mnahisi dhulma....


Ndugu zangu wa kagera walikesha kufunga kumshtakia Mungu kwa kudhulumiwa haki yao ya rambirambi toka kwa binadamu wenzao walioguswa na janga lao la tetemeko.......niliambiwa Mungu alijibu haraka sana..
 
huyo mahita sijui kama atatoboa maana sio kwa kuchoka huko!
Kufika tu umri huo ni neema pia...si wengine sijajua kama tutafikia huko,labda apende mungu........ukifikia age hiyo ni chance ya kumrudia Mungu na kufa sio adhabu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…