Kejeli za Kamanda Murillo hazifiki hata Nusu ya zile za Mahita, hata hivyo kuna maisha baada ya Upolisi

Mbona Mtei kachoka kama ganda la ndizi?

Marando ulishamwona?

Nyie wapumbavu mnaamin watu wenu watabaki fresh sio?

Gaidi mstaafu Mbowe nae sura ishaanza kujikunja kama chura aliekosa matope
Watenda vitendo haramu ndiyo nyinyi na nyinyi ndiyo mnafikiri hamtasitaafu na kurudi mtaani na kukuta na laana za wale miliowaonea
 
Unashangaa Mahita kuchechemea Kwani wewe Babu yako huko kijijini hachechemei ? Kama anachechemea aliwahi kufanya ukatili gani?
 
Polisiccm kulujuani Alibadiri zitawaandama kwa wengi sana kwa mambo yenu haramu ya kishetani
 
Unashangaa Mahita kuchechemea Kwani wewe Babu yako huko kijijini hachechemei ? Kama anachechemea aliwahi kufanya ukatili gani?
Mkifanya ukatili huwa mnajua mtaishi kota za Polisiccm milele , endelea na mifano yako kulinganisha vitendo haramu vya kishetani vya Polisiccm na wazee wa mtaani ambao ni watu wema ni kuwakosea sana acheni ushetani wenu
 
Ngunguri na konteina la visu: Kwisha habari yake
 
Ndo kazi yake kwa sasa muache atekeleze majukumu, yajayo anajua Mungu wake.

Kila mtu astawi alikopandwa
 
Hajitambui huku akijiita masawe!
Walikuwepo madikteta hatari sana Duniani wapo wapi akina Magu, mabutu, Chiluba, Rungu, makaburu wa Africa kusini Elbashiri wa Sudan idd Amin wa uganda akina Bokasa, Sadam Hussein na wenzao, hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake na mwisho wa ubaya ni Aibu
 
Kuna Polisi, alitufanyia uhuni ktk familia yetu, kilicho mkuta, alirudi kwetu huku akiwa ana tambaa kwa magoti, na alihama kabisa.

Hawa ni wa kuwapiga kipapai tyuuh.
 
Dunia ina mafunzo mengi sema binadamu wabishi sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…