Kejeli za Kamanda Murillo hazifiki hata Nusu ya zile za Mahita, hata hivyo kuna maisha baada ya Upolisi

Hata humu maofisini,uraiani kwenye shughuli Binafsi,Ubaya haulipi!
 

Omar Mahita ni Mtu katili, uk

Omar Mahita ni Mtu katili, ukatiki wake ulijidhihirisha wazi kabisa wakati akiwa RPC na zaidi pale alipokuwa IGP.
Hata uteuzi wake wa kuwa IGP ulichagizwa na vitendo vyake vya kikatili alivyowafanyia Wapinzani wa kisiasa NCCR-Mageuzi enzi hizo.
 
Mlimfanya nini.
Mtoto wake wa drs la 6 alifariki ghafla, mke wake alipotea ki mazingira ya kutatanisha, katafutwa siku 3 hajaonekana, kaonekana siku ya 4, nyuma ya vyoo vya kituo cha polisi, akiwa bubu..

Aliweza kuongea tena, baada ya mumewe kuja kwetu, kuomba radhi, na aliambiwa atoe 1M akaomba kupunguziwa alilipa 850k yule mkewe hawezi sema milele yote wapi alikuwepo. Chezea watu weyeeee.
 
Unapiga Juju?
Kunae m1 alihamishiwa kwetu, mkuu wa kituo, si akajifanya mjuaji, eti ooh siogopi kitu, naskia huku watu mnajifanya mnaujua uchawi, sasa mie kwetu nimeaga.

Watu waka test mitambo, imooo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe ni mweupee hana chochotee, alikoma kabisaa,
 
Hao watu wanapatikana wapi mbona kazi zao hatuzioni nyakati hizi?
 
Mkifanya ukatili huwa mnajua mtaishi kota za Polisiccm milele , endelea na mifano yako kulinganisha vitendo haramu vya kishetani vya Polisiccm na wazee wa mtaani ambao ni watu wema ni kuwakosea sana acheni ushetani wenu
Babu yako anavyotembelea mkongojo hakua mwema?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hao watu wanapatikana wapi mbona kazi zao hatuzioni nyakati hizi?
Sasa hili suala hadi limfike muhusika, yaan mtu hajaguswa, aanze kufanya hivyo si ukorofi huu.

Hawa ni wa kupiga juju tyuuh, hawasumbui.
 
Huyu RPC wa Dar es salaam ni mchemrshaji wa Futuhi ya Star Tv a.k. a Sharobaro wa kihaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…