Kejeli za Msemaji Wa Simba SC dhidi ya Watani wao Yanga

KIWANDANI FC
MIFUGO FC
WAFUGAJI FC
MALALAMIKO FC
UTOPOLO FC
VYURA FC
MAZIWA FC is Loading
 
Yaani Kasema Kabisa na Mmemsikia kwa Masikio Yenu
'Timu Zote Weekend hii Zinasafiri'

...Halafu Akaongeza ' Timu Yako kama Inacheza Na Kino Boys' basi timu yako ni Ya Kawaida Saaaaaaaaana.!

Huyu Kijana Ahmed Ally Sasa Kavuka 'Mipaka'... !
Na mimi nimejiongeza nasemaaaa hiviii...MARUFUKU Hiyo 'Minyau' ...Kuivuka..! Haiwezekani ' Mipaka' tunayolinda Halafu Mtu mmoja aje Aivuke hivi hivi tunaona..!
 
Tena kiwanda kilicho pata janga la kuungua moto
 
mpira wa tanzania na mashabiki wake ni upuuzi mtupu..
 
aisee inauma ila itabidi tuzoee
 
Hakuna msemaji hapo labda Mchambaji. Hizi timu zenu ziaajiri wachambaji halafu mnawaita Wasemaji? Huyu na Manara wote Wachambaji tu. Hapo amesema nini zaidi ya kuchamba? Msemaji wa timu anaongelea wachezaji kukata viuno?
Pole msumari umekugusa kingo ya utumbo mpana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…